@simulizinasauti

Simulizi na Sauti

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by simulizinasauti

simulizinasauti

Somo la @mwasitij wikiendi...

August 22, 2021

simulizinasauti

Jifunze kuishi na watu wanaokuzunguka kutokana na mazingira waliyokuwa nayo na umri waliokuwa nao. Anaefanana na baba yako au mama yako jitahidi kumuhendo na kumpa kiwango kikubwa cha heshima mfano wa mzazi wako. Kila aliyekuwa chini yako kiuchumi haina maana kuwa ni mvivu wa kutafuta hapana, mpe udhuru na jitahidi kuwa nae karibu hata kwa msaada wa fikra tu na kumtia moyo ili nae akamilishe ndoto anazozifikiria kwenye maisha yake. Anaekuchukia nawe usiwe mjinga kama yeye ukamchukia hapana, muoneshe bustani ya upendo na tabamu la dhati kila uwepo mbele yake. Aliekutangulia kwenye kitu unachokihitaji mpe nafasi ya kumsikiliza ili akupe maarifa juu ya kitu hicho. Lazima ufahamu kuwa ujinga sio kuchelewa kujua bali ujinga ni kukataa kujua wakati unajuzwa. Kukosewa zaidi haina maana aliekukosea alipanga akukosee hapana, ila unatakiwa kufahamu kuwa kila kosa uliokosewa ndani yake kunafunzo kubwa japo ni ngumu kulijua hilo endapo kama utatanguliza ghadhabu baada ya kukosewa. Kila mtu anapenda kuheshimiwa bila kujali amekosea au amepatia, jitahidi kutumia hekima kwa yoyote unaemkosoa. Na: @abdulrazaki.issa

August 22, 2021

simulizinasauti

Good Morning!

August 22, 2021

simulizinasauti

@officialzuchu afunguka kumaliza tiketi zote za show yake, SIMU ya Rais SAMIA jukwaani. Na: @creez_favors

August 21, 2021

simulizinasauti

Rais SAMIA ampigia simu @officialzuchu LIVE jukwaani.

August 21, 2021

simulizinasauti

Show ya wasanii @triple_r_and_z kwenye jukwaa la Zuchu Home Coming Zanzibar.

August 21, 2021

simulizinasauti

Kinachoendelea kwenye show ya @officialzuchu (Home coming) Zanzibar. Na: @creez_favors

August 21, 2021

simulizinasauti

Hivi ndivyo @officialzuchu alivyoshuka na CHOPA Uwanja wa Amani Zanzibar kwenye show yake ya 'Home Coming'

August 21, 2021

simulizinasauti

Wanajeshi wa Marekani walivyogeuka walezi wa watoto wa Afghanstan zaibua hisia.

August 21, 2021

simulizinasauti

#Taarifa: Shirika la Umeme (Tanesco) limetangaza kuanzia Agosti 2021, mteja atatakiwa kununua umeme wa zaidi ya Sh2,000 ili alipe kodi ya majengo ya Julai na Agosti. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi Agosti 21, 2021 kupitia ukurasa wa Twitter wa shirika hilo. Utaratibu huo unatokana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutangaza utaratibu mpya wa ukusanyaji kodi ya majengo kupitia ununuzi wa umeme kuanzia Agosti 20. Kwa habari zaidi tembelea www.sns.co.tz

August 21, 2021

simulizinasauti

#SNSEnt: Anita Okoye, mke wa staa wa Nigeria, Paul Okote aka King Rudy anataka talaka yake, baada ya wawili hao kudumu kwenye ndoa kwa takriban miaka 7 na kupata watoto watatu, Andre pamoja na Nadia na Nathan ambao ni mapacha. Katika ombi lake la talaka, Anita anamtaka #Paul awajibike kwenye malezi ya watoto wao ambao kwa sasa wanaishi Marekani. Anita anataka alipwe takriban shilingi milioni 35 kila mwezi kama fedha za kumsaidia kujikimu, yaani spousal support. Hayo ni madai aliyoyaorodhesha kwenye ombi lake la talaka aliloliwasilisha kwenye mahakama kuu ya Abuja nchini Nigeria. Kwenye maelezo hayo, ametaja sababu hizi 5 za kwanini anataka ndoa hiyo ivunjwe.... Kwa habari zaidi tembelea www.sns.co.tz (Gusa link kwenye bio)

August 21, 2021

simulizinasauti

#SNSEnt: Kuizuia nyota ya @wizkidayo ni sawa na kuziba mwanga kwa kiganja cha mkono. Staa huyo wa muziki kutoka Nigeria, anazidi kutudhirishia kuwa kizuri kinajiuza chenyewe, hii ni baada ya @kimkardashian hajaacha wimbo wa Essence Remix umpite hivi hivi, ameamua ku-show love kwenye wimbo huo. #Kim kupitia insta story yake, ameamua kututhibishia hilo kupitia picha aliyoipost akiwa ndani ya gari lake aina ya Rolls Royce akiusikiliza wimbo huo. Sio hivyo tu, Kim ameiambatanisha picha hiyo na emoji za moto... akiwa na maana kuwa wimbo huo umemkosha vilivyo. Ipo wazi, huwa ni nadra sana kwa @kimkardashian ku-share kwenye mitandao ya kijamii nyimbo ambazo anazozisikiliza ama kuzikubali sana. Hili limekua jambo jema sana kwa 'Staa Boy' @wizkidayo na @temsbaby. Kim Kardashian anaungana na mastaa wengine wakubwa kutoka Marekani walioipokea vizuri kazi hii mpya ya WizKid. Na: @omaryramsey #SNSEnt

August 21, 2021

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com