@simulizinasauti

Simulizi na Sauti

Tanzania
#SNSEnt: Kuizuia nyota ya @wizkidayo ni sawa na kuziba mwanga kwa kiganja cha mkono. Staa huyo wa muziki kutoka Nigeria, anazidi kutudhirishia kuwa kizuri kinajiuza chenyewe, hii ni baada ya @kimkardashian hajaacha wimbo wa Essence Remix umpite hivi hivi, ameamua ku-show love kwenye wimbo huo.

#Kim kupitia insta story yake, ameamua kututhibishia hilo kupitia picha aliyoipost akiwa ndani ya gari lake aina ya Rolls Royce akiusikiliza wimbo huo. Sio hivyo tu, Kim ameiambatanisha picha hiyo na emoji za moto... akiwa na maana kuwa wimbo huo umemkosha vilivyo.

Ipo wazi, huwa ni nadra sana kwa @kimkardashian ku-share kwenye mitandao ya kijamii nyimbo ambazo anazozisikiliza ama kuzikubali sana. Hili limekua jambo jema sana kwa 'Staa Boy' @wizkidayo na @temsbaby.

Kim Kardashian anaungana na mastaa wengine wakubwa kutoka Marekani walioipokea vizuri kazi hii mpya ya WizKid.

Na: @omaryramsey

#SNSEnt

#SNSEnt: Kuizuia nyota ya @wizkidayo ni sawa na kuziba mwanga kwa kiganja cha mkono. Staa huyo wa muziki kutoka Nigeria, anazidi kutudhirishia kuwa kizuri kinajiuza chenyewe, hii ni baada ya @kimkardashian hajaacha wimbo wa Essence Remix umpite hivi hivi, ameamua ku-show love kwenye wimbo huo. #Kim kupitia insta story yake, ameamua kututhibishia hilo kupitia picha aliyoipost akiwa ndani ya gari lake aina ya Rolls Royce akiusikiliza wimbo huo. Sio hivyo tu, Kim ameiambatanisha picha hiyo na emoji za moto... akiwa na maana kuwa wimbo huo umemkosha vilivyo. Ipo wazi, huwa ni nadra sana kwa @kimkardashian ku-share kwenye mitandao ya kijamii nyimbo ambazo anazozisikiliza ama kuzikubali sana. Hili limekua jambo jema sana kwa 'Staa Boy' @wizkidayo na @temsbaby. Kim Kardashian anaungana na mastaa wengine wakubwa kutoka Marekani walioipokea vizuri kazi hii mpya ya WizKid. Na: @omaryramsey #SNSEnt

August 21, 2021

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com