Ni vema sana kumpa mtu sifa zake akiwa bado yuko HAI ili aweze kuzisikia na kama ni Maua ni vema sana kumpa mtu maua yake bado akiwa HAI ili aweze japo kuyanusa, Juzi Nilipata nafasi ya kumuelezea kaka yetu @josephkusaga ninavyomfahamu na alivyochangia mchango wake mkubwa sana kwenye maendeleo ya SANAA yetu na sekta nyingine mbalimbali, katika hafla hiyo iliyoandaliwa na @cloudsfmtz @cloudstv kuwashika mkono vijana wajasiliamali 55 wa kitanzania, @kelvin.twissa @dadditino @fanani_wauhakika @askofutza @barakashelukindo @djdommy MUZIKI huu tumetoka nao Mbali sana ndio maana watoto wadogo wakinitukana au kunidharau NACHEKA tu maana Mtoto akiunyea Mkono siukati bali NAUOSHA, RESPECT the OG👑 -CHEMSHA BONGO🚀
August 08, 2021
Hili ni SHOW la papo kwa Papo, Ghafla bin Vuu kwenye MCHONGO wa BIG JOE @josephkusaga , Mtamboni ni Mwanangu @djdommy kwenye Moja na Mbili huku shughuli nzima ikisimamiwa kikamilifu na DINGILAI @adamchomvu #UNA👑 Cc. @sebamaganga @mwanafa @nikkwapili @mauasama @askofutza @johmakinitz 'DONT BOTHER'
August 08, 2021
Mabibi na Mabwana wanaopita mbele yenu ni ndege wanaofanana na kuruka pamoja❤❤❤ Ni Mwenyekiti wa MABUSHOKE akiwa na mwandani wake @mke_wa_profjize - Kweli mimi ni MWEUSI Ila hapa MPIGA PICHA @dir.brown amenihujumu sana🤣🤣🤣 Dressed By PAPAA @jm_international_collection
August 07, 2021
Hongera sana mwanangu wa Tangu na Tangu @pimp_noor_el na Shemeji yetu Salama, Mwenyezi Mungu aibariki sana NDOA yenu Takatifu na awajalie Kila lililo jema katika Maisha yenu Mapya🙏🙏🙏 Cc. @mke_wa_profjize
August 03, 2021
Bado napiga goti kwa MUNGU aniongezee, Kwenu Vijana wa Bongo poleni na STAREHE, Jasho langu la Chuma lataka Moyo kulila, Na Wote mtabana NGENGE wachawi na wenye HILA, Nimeshasebenza na shuruba nyingi za Maisha, Kumbukumbu nzuri anazo MR. TEACHER @muonambali . - JINA LANGU (Classic MUSIC)👑 @nkwabi1
August 03, 2021
Hii HOMA ya juzi ya @efmtanzania is The BEST, Ubunifu wa Hali ya juu, Minyumbuliko, Michano , Milazo na Micharazo ya hali ya juu sana, SALUTE sana kwa mwanangu @staminashorwebwenzi @efmtanzania @etvtanzania @jonijooo @majizzo 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 #BABA To the WORLD🚀🚀
August 02, 2021
Wakali wa hizi kazi kutoka @wasafifm Wanangu wa DHAHABU @deejay_jacko na Malkia @djmamieofficial 💯💯🚀🚀 #UTANIAMBIANINI Link kwenye BIO👑
July 31, 2021
Wimbo mpya wa msanii Mr. Teacher A.k.a @muonambali uitwao KATIBA MPYA umeshatoka. Bonyeza link kwenye Bio yake @muonambali ili uusikilize wimbo wote. Usisahau kugonga like za kutosha, kujiunga na channel yake, na kutoa maoni yako kwenye channel yake ya Youtube. BLESS UP🙏🙏
July 30, 2021
Pumzika kwa Amani Mwanangu na Kipenzi cha Watu MALCOM The BELIEVER . Poleni sana ndugu zangu @masoudkipanya @sarah.chande Kazi yake MOLA haina Makosa🙏🙏
July 29, 2021
@charlzclinton na @kate_milaya wlaivyowashiana moto wiki hii! Na wote wako hatarini kusepa mjengoni! Nani atayaaga mashindano leo? Usikose kuangalia show la kijanja @bingwashow Leo Jmosi saa 4:00 usiku @tv3tanzania masaa 2 na nusu🔥🔥🔥🔥 LIVE KUTI KAVU! PIGA KURA! Muokoe mshiriki unayempenda kupitia #startimeson App sasa. Bonyeza link kwenye bio ya @startimestz Lipia sasa mambo(Antena) 15000/= au Smart (Dish) 21000/= au Tazama kupitia App ya StarTimes On #bingwaseason1 #startimeson
July 25, 2021
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact