@professorjaytz

Professor Jay

Tanzania
Ni vema sana kumpa mtu sifa zake akiwa bado yuko HAI ili aweze kuzisikia na kama ni Maua ni vema sana kumpa mtu maua yake bado akiwa HAI ili aweze japo kuyanusa,
Juzi Nilipata nafasi ya kumuelezea kaka yetu @josephkusaga ninavyomfahamu na alivyochangia mchango wake mkubwa sana kwenye maendeleo ya SANAA yetu na sekta nyingine mbalimbali, katika hafla hiyo iliyoandaliwa na @cloudsfmtz @cloudstv kuwashika mkono vijana wajasiliamali 55 wa kitanzania, 
@kelvin.twissa @dadditino @fanani_wauhakika @askofutza @barakashelukindo @djdommy 
MUZIKI huu tumetoka nao Mbali sana ndio maana watoto wadogo wakinitukana au kunidharau NACHEKA tu maana Mtoto akiunyea Mkono siukati bali NAUOSHA, RESPECT the OG👑
-CHEMSHA BONGO🚀

Ni vema sana kumpa mtu sifa zake akiwa bado yuko HAI ili aweze kuzisikia na kama ni Maua ni vema sana kumpa mtu maua yake bado akiwa HAI ili aweze japo kuyanusa, Juzi Nilipata nafasi ya kumuelezea kaka yetu @josephkusaga ninavyomfahamu na alivyochangia mchango wake mkubwa sana kwenye maendeleo ya SANAA yetu na sekta nyingine mbalimbali, katika hafla hiyo iliyoandaliwa na @cloudsfmtz @cloudstv kuwashika mkono vijana wajasiliamali 55 wa kitanzania, @kelvin.twissa @dadditino @fanani_wauhakika @askofutza @barakashelukindo @djdommy MUZIKI huu tumetoka nao Mbali sana ndio maana watoto wadogo wakinitukana au kunidharau NACHEKA tu maana Mtoto akiunyea Mkono siukati bali NAUOSHA, RESPECT the OG👑 -CHEMSHA BONGO🚀

August 08, 2021

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com