Kutokana na idadi Kubwa Ya Watu Wengi Waliohudhuria Kwenye Show Yangu Usiku Wa Mwaka Mpya Pale killifi Kenya Tukakosa Sehemu hata Ya Kupenya Kufika Kwenye Stage ikatubidi Tupite Upande Wa Nyuma Wa Stage na ilitulazimu Tutumie Boat 🛥️ Kufika Kwenye Show Asante Sana Kilifi Kenya 🇰🇪 Upendo Wenu Utaishi Milele Kwenye Moyo Wangu 🤝 @hon_george_kithi Directed By @jaym_tz 🫡
January 05, 2024
Historia itabaki kuishi Milele na Milele Kwale County Kenya 🇰🇪.. Asanteni Sana Kwa Upendo Mkubwa na Mapokezi Mkubwa Mno Hakika Mtabaki Kwenye Moyo Wangu 🙏 @rashidabdallah_supercup @rashidyabdalla @loulou_hassan Asanteni Kwa Kuniamini 🙏 🎬 @jaym_tz
December 22, 2023
Aiseee ...!! Mimi Nitachelewa Sana Kuoa.. Kama Mambo Yenyewe ndo Haya .. Nawahi Nini Sasa .. !!? Mungu Anayakatakata Maumbo 👌 @iam_ummysamsam #OnlyYou @macvoice_tz ft King Khan Available in All Digital Platforms Worldwide
January 12, 2022
Kitu Ambacho Pengine Hujui ‘Samsung Galaxy Z Flip 3 inauwezo Wa Kupiga Hand Self Kwa Upande Wa Nyuma Wa Simu Yako Wakati Umeifunga.. Nyieee Tumieni Samsung Galaxy Z Flip 3 Mtanishukuru Baadae Tembelea Maduka Yetu Ya Samsung Kujipatia #samsungxmbosso #withGalaxy #TeamGalaxy @samsungtanzania
January 11, 2022
Jamani ninavyoviimba Mjue Huwa Namaanisha ... Mungu Anaumba Nyieeee .. Dada Kajaza Nyama Huyuu Kaah 👌 @tuerny #OnlyYou @macvoice_tz ft King Khan
January 11, 2022
'mpaka Lini Mwenye Kupata Apate na Mpaka Lini Mwenye Kukosa Akose ....? @mrishompoto anatuuliza Kwenye #Tausi Link in My Bio
January 11, 2022
Mjomba Mrisho Mpoto @mrishompoto Ametuletea #Tausi na Mimi nimepata Bahati Ya Kushirikishwa kwenye Wimbo Huu .. ni Wimbo Mkubwa Sana.., Kwa Umri wangu na Akili Yangu nikahisi Pengine nisingeweza kufanya Chochote humu Asante sana Mjomba Kwa Kuniamini naimani Sijakuangusha @mrishompoto Produced By @moccogenius #Tausi is Out Now link in My Bio
January 10, 2022
Nyie .. Mimi Ninachokiimba Ujue nakijua na huwa Nakiona Kwenye Hii Dunia Mjue .. Mmeona NyamaNyama Lundo Hizo ..? @madame_jessy_channel #OnlyYou @macvoice_tz ft Mbosso Khan Available in All Digital Platforms Worldwide
January 09, 2022
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact