@mbosso_

Mbosso

Tanzania
Kutokana na idadi Kubwa Ya Watu Wengi Waliohudhuria Kwenye Show Yangu Usiku Wa Mwaka Mpya  Pale killifi Kenya 
Tukakosa Sehemu hata Ya Kupenya Kufika Kwenye Stage ikatubidi Tupite Upande Wa Nyuma Wa Stage na ilitulazimu Tutumie Boat πŸ›₯️ Kufika Kwenye Show 

Asante Sana Kilifi Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ Upendo Wenu Utaishi Milele Kwenye Moyo Wangu

 🀝 @hon_george_kithi

Directed By @jaym_tz 🫑

Kutokana na idadi Kubwa Ya Watu Wengi Waliohudhuria Kwenye Show Yangu Usiku Wa Mwaka Mpya Pale killifi Kenya Tukakosa Sehemu hata Ya Kupenya Kufika Kwenye Stage ikatubidi Tupite Upande Wa Nyuma Wa Stage na ilitulazimu Tutumie Boat πŸ›₯️ Kufika Kwenye Show Asante Sana Kilifi Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ Upendo Wenu Utaishi Milele Kwenye Moyo Wangu 🀝 @hon_george_kithi Directed By @jaym_tz 🫑

January 05, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright Β© 2024 insiflow.com