jamiiforums Instagram Analytics, Stats, Followers Count.

View the daily Instagram analytics of jamiiforums. Find out full analytics and statistics below.

JamiiForums Engagement Rate: 0.09%

Instagram Engagement Analytics for @jamiiforums per post

Avg. Likes

2.6K

Avg. Comments

81

Avg. Engagement

0.09%

Latest Posts

Check out the most recent jamiiforums Instagram photos! Click on any post to find Analytics for it.

JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

ZANZIBAR: SERIKALI YARASIMISHA BIASHARA YA BAJAJI NA BODABODA - Serikali ya Mapinduzi #Zanzibar (SMZ) imerasimisha usafiri wa Bajaji na Bodaboda ikiwemo kuweka Kanuni na Masharti maalum katika Biashara hiyo - Mkurugenzi wa Usafiri na Leseni Zanzibar, Muhammed Simba Hassan amesema uamuzi huo umetokana na Vijana kujiajiri katika Usafiri huo - Usafiri huo utasajiliwa kwaajili ya biashara ya kusafirisha abiria na kuwa na namba maalum. Madereva wa vyombo hivyo watapewa Elimu ili kufuata Sheria na nauli itakuwa ni makubaliano lakini wakigundua kuna malalamiko kitaweka kiwango maalum #JamiiForums #Ajira #Employment

 • heart
  375 Likes
 • heart
  6 Comments
 • engagement
  0.01% Engagement
 • heart
  375
 • heart
  6
 • engagement
  0.01%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

MAREKANI: HUSHPUPPI AKIRI KUTAKATISHA FEDHA - Raia wa Nigeria, Ramon Abbas maarufu kama Hushpuppi amekiri makosa ya utakatishaji fedha mbele ya Mahakama nchini #Marekani - Pia, amekiri kufanya utapeli ambao ulimpatia jumla ya Tsh. Bilioni 55. Moja kati ya tukio ni kujifanya benki na kujaribu kumtapeli Mwekezaji - Hushpuppi alikamatwa mwezi Juni 2020 #Dubai, anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miaka 20 jela na atapaswa kulipa fidia kamili kwa wahanga #JamiiForums

 • heart
  3.7K Likes
 • heart
  54 Comments
 • engagement
  0.12% Engagement
 • heart
  3.7K
 • heart
  54
 • engagement
  0.12%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

SERIKALI: MARUFUKU HOSPITALI KUTOZA FEDHA KWENYE CHANJO YA #COVID19 - Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi amewaagiza wasimamizi wa Chanjo kutolipisha Watu fedha kwasababu Chanjo hizo ni bure - Prof. Makubi amesema "utoaji wa chanjo hizo kwenye Hospitali za Umma na Binafsi utatolewa bila kulipisha gharama na zoezi hilo lifanyike kwa uadilifu na kwa haki kwa walengwa wa sasa" - Aidha, Prof. Makubi amesema kwa kuzingatia Kanuni za UVIKO-19, tunapaswa kunawa mikono, kuvaa Barakoa, kukaa umbali wa mita moja au zaidi, kuepuka misongamano na kufanya mazoezi #JamiiForums #UVIKO3

 • heart
  1.8K Likes
 • heart
  45 Comments
 • engagement
  0.06% Engagement
 • heart
  1.8K
 • heart
  45
 • engagement
  0.06%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

NJOMBE: AFARIKI KWA KULALA NA JIKO LA MKAA NDANI - Edita Mangita (40) mkazi wa Mtaa wa Matema, Kata ya Maguvani, Mjini Makambako amefariki baada ya kujifungia na jiko la mkaa katika kibanda chake cha biashara - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issa amesema Julai 28, 2021 marehemu Edita aliamua kubaki na kulala katika kibanda chake cha biashara Ili kuwahi wateja wake wa asubuhi - Kamanda ametoa wito kwa Wananchi kuepuka kulala na majiko ya mkaa ili kuepuka hewa ya carbonmonoxide ambayo ni sumu kwa binadamu #JamiiForums #Matukio

 • heart
  4.4K Likes
 • heart
  170 Comments
 • engagement
  0.15% Engagement
 • heart
  4.4K
 • heart
  170
 • engagement
  0.15%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

😁

 • heart
  8.3K Likes
 • heart
  274 Comments
 • engagement
  0.28% Engagement
 • heart
  8.3K
 • heart
  274
 • engagement
  0.28%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

ARSENAL YAKAMILISHA USAJILI WA BEN WHITE - Arsenal imemsajili Beki raia wa England, Ben White (23) kwa ada ya Paundi Milioni 50 kutokea Brighton - White atakayevaa jezi namba 4, amesaini mkataba wa miaka 5. Ni usajili wa 3 wa Arsenal katika dirisha hili a usajili #JFSports

 • heart
  2.1K Likes
 • heart
  28 Comments
 • engagement
  0.07% Engagement
 • heart
  2.1K
 • heart
  28
 • engagement
  0.07%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUBORESHA AFYA YA NGOZI - 2 - 1. Asali husaidia kutunza na kuhifadhi unyevu kwenye Ngozi kwa kuwa ina kiwango kikubwa cha Sukari na Acid ambazo huzuia vijidudu kuzaliana. Paka Asali kabla ya kuoga na iache kwa muda kabla ya kuiondoa - 2. Mayai: Kiini cha Yai huwa na Vitamini A na B huku Ute ikiwa na Protini nyingi ambayo ni muhimu kwa Ngozi. Ute wa Yai huifanya Ngozi kuwa nyororo na kung’aa na husaidia Ngozi kujilinda na mionzi ya Jua - 3. Chungwa na Limao: Bidhaa hizi husaidia kutengeneza Collagen ambayo ni aina ya Protini inayotengeneza Ngozi. Vitamini C iliyopo kwenye Chungwa na Limao husaidia kuondoa uvimbe na mikunjo na kuilinda isizeeke mapema - 4. Mboga za majani: Kama unataka Ngozi nyororo usisahau kula Mboga za majani kwani husaidia kuzalisha Seli mpya na kuondoa zile zilizokufa hivyo kupunguza ukavu na kutunza ngozi ing’are na kuvutia #JamiiForums #SkinCare #Urembo

 • heart
  983 Likes
 • heart
  14 Comments
 • engagement
  0.03% Engagement
 • heart
  983
 • heart
  14
 • engagement
  0.03%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

TANZIA: BABU WA LOLIONDO AFARIKI DUNIA - Ambilikile Mwasapile maarufu kama ‘Babu wa Loliondo’ amefariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Digodigo - Babu wa Loliondo inadaiwa aliugua muda mrefu na akawa akijitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali leo saa sita alikuwa amechelewa, akafariki saa nane - Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote - #Jamiiforums

 • heart
  20.7K Likes
 • heart
  664 Comments
 • engagement
  0.7% Engagement
 • heart
  20.7K
 • heart
  664
 • engagement
  0.7%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

TANZIA: DIWANI WA KATA YA LUDUGA AFARIKI BAADA YA KUUGUA GHAFLA - Hassan Ngella, Diwani wa Kata ya Luduga iliyopo Wilayani Wanging'ombe, Njombe amefariki usiku wa kuamkia Julai 30, 2021 katika Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya baada ya kuugua ghafla - Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM-Wilaya, Ruben Nyagawa amesema Hassan aliugua ghafla na kupelekwa Hospitali ya Ilembula na baadaye alipelekwa Mbeya - Amewaomba Wananchi wa Kata hiyo kushiriki maandalizi ya mazishi ya Diwani huku wakichukua tahadhari ya kujikinga dhidi ya #COVID19 #JamiiForums

 • heart
  3.6K Likes
 • heart
  86 Comments
 • engagement
  0.12% Engagement
 • heart
  3.6K
 • heart
  86
 • engagement
  0.12%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA - Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga - Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na ndege 9 - Rais amesema ndege huimarisha Utalii #JamiiForums

 • heart
  2.7K Likes
 • heart
  137 Comments
 • engagement
  0.09% Engagement
 • heart
  2.7K
 • heart
  137
 • engagement
  0.09%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

RAIS SAMIA: TUMENUNUA NDEGE YA MIZIGO KWA KUWA UCHUMI UNAKUA - Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema sababu ya kununua Ndege ya Mizigo ni kutokana na kukua kwa Uchumi - Amesema kwa sasa Tanzania inazalisha sana Maua na Mbogamboga ambapo inakadiriwa kufikia mwaka 2025 itakuwa inaingiza dola bilioni 2 kwa mwaka - Ndege zinaweza kuongezwa kadiri Uchumi unavyokua #JamiiForums #JFSiasa

 • heart
  8.9K Likes
 • heart
  646 Comments
 • engagement
  0.31% Engagement
 • heart
  8.9K
 • heart
  646
 • engagement
  0.31%
JamiiForums Instagram
jamiiforums Instagram

SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA KUPOTEZA UWEZO WA KUSIKIA (UZIWI) - Matatizo ya kutosikia huweza kusababishwa na shida za kuzaliwa na sababu baada ya kuzaliwa. Mama Mjamzito akitumia Dawa nyingi au kupata Magonjwa huweza kusababisha Mtoto kuzaliwa akiwa na Uziwi - Baada ya kuzaliwa Mtu huweza kupata tatizo la Uziwi kutokana na Magonjwa ya Utotoni, kuchokonoa Sikio (kwa viberiti au kalamu), Matatizo ya Mirija ya Masikio (Auditory Canal), Sikio kuwa na Maji/uchafu pamoja na Kukaa au kufanya kazi sehemu yenye kelele sana - Wengine hupata tatizo la Uziwi kutokana na Matumizi mabaya ya Vifaa vya Kieletroniki (Earphones) na pia, sababu za Umri kwenda hasa kwa Wazee. #JamiiForums #FUWAVITA #Deafness

 • heart
  981 Likes
 • heart
  17 Comments
 • engagement
  0.03% Engagement
 • heart
  981
 • heart
  17
 • engagement
  0.03%

FAQ - jamiiforums Instagram Account Stats

Here are some of the frequently asked questions about JamiiForums Instagram Account.

Answer: jamiiforums Instagram account has 3.1M followers.
Answer: Engagement rate of jamiiforums Instagram is 0.09%
Answer: Average likes are about 2.6K per post.
Answer: Average comments are about 81 per post.
Answer: Official JamiiForums username Instagram is @jamiiforums