@itvtz

ITV TANZANIA

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by itvtz

itvtz

"Tunaungwa mkono vizuri sana, tunaunganishwa na kiswahili, leo mazungumzo yote yamekwenda kwa Kiswahili na ni kizuri kabisa, leo tumetumia neno 'tunakwenda kuweka saini mikataba', hatukusema 'tunaenda kuweka kidole mikataba...".Rais Samia. #ZiaraUhuruKenyatta.

December 10, 2021

itvtz

#KIMATAIFA:Idadi ya vifo kufuatia ajali ya lori lililokuwa limebeba wahamiaji haramu Kusini mwa Mexico yafikia 54 huku majeruhi wakiwa 105. Lori hilo lilipinduka baada ya kupoteza muelekeo na kugonga daraja la watembea kwa miguu.

December 10, 2021

itvtz

#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoani Lindi ACP Mtatiro Kitinkwi .

December 10, 2021

itvtz

#KumekuchaMichezo: Ligi Kuu NBC Tanzania Bara Simba na Yanga.

December 10, 2021

itvtz

#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limepiga marufuku kwa mtu yeyote asiyehusika na mambo ya kiusalama kuingia uwanjani na silaha yoyote ikiwemo silaha za moto, visu, Panga au mawe katika mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga Disemba 11, 2021 .

December 10, 2021

itvtz

#KUMEKUCHA: Siku ya Haki za Binadamu na Miaka 60 ya Uhuru.

December 10, 2021

itvtz

#ITVMagazeti:Makomando wanogesha sherehe za Uhuru Dar / Ni 60 ya viwango, Desemba 10, 2021.

December 10, 2021

itvtz

Kiwanda kikubwa cha sukari kujengwa Kilombero.

December 09, 2021

itvtz

Maadhimisho ya Kilele cha Uhuru yatikisa Dar.

December 09, 2021

itvtz

Jamii yatakiwa kutowabagua wafungwa walioachiwa huru.

December 09, 2021

itvtz

#Muhtasari: Kwa Haya na Mengine mengi usikose kuungana nasi ifikapo Saa mbili kamili usiku. . Unaweza pia kutazama Taarifa yetu ya Habari kupitia Youtube na Facebook #ITVTanzania . Usisahau Ku-Subscribe ili kupata Taarifa zetu za #Habari kila zinapotufikia.

December 09, 2021

itvtz

#PICHA:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amemtunuku nishani ya Miaka 60 ya Uhuru Mkuu wa Jeshi ya Polisi nchini (IGP) Simon Sirro.

December 09, 2021

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com