@itvtz

ITV TANZANIA

Tanzania
#KIMATAIFA:Idadi ya vifo kufuatia ajali ya lori lililokuwa limebeba wahamiaji haramu Kusini mwa Mexico yafikia 54 huku majeruhi wakiwa 105. 

Lori hilo lilipinduka baada ya kupoteza muelekeo na kugonga daraja la watembea kwa miguu.

#KIMATAIFA:Idadi ya vifo kufuatia ajali ya lori lililokuwa limebeba wahamiaji haramu Kusini mwa Mexico yafikia 54 huku majeruhi wakiwa 105. Lori hilo lilipinduka baada ya kupoteza muelekeo na kugonga daraja la watembea kwa miguu.

December 10, 2021

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com