Allahmdulillah 🙏🏼🎉 My lovely little champ has arrived! Thank you @quenlinnatotoo ❤️ Am proud of you! 📸: @sakshed Mua: @makeupbyeddie_ 15.11.2023 🎉🥂
November 18, 2023
Janja Wana Man Na @chino_kidd7 kashabariki #KilimanjaroChallenge ila chino🔥🔥🔥🔥🔥 🙌🏼🙌🏼🙌🏼 #Kilimanjaro Link On Bio
November 10, 2023
Shughuli yote ipo youtube na link ipo kwenye bio! Enjoy my New Song! #Kilimanjaro Feat @itslouiagain 🚨🚨🚨🚨🚨‼️‼️‼️‼️🔔🔔🔔🔔
November 03, 2023
Je Unajua Baadhi Ya Tabia Za FARASI NA SIFA ZAKE.. 1: Farasi huwa anatumiwa na binaadamu kama usafiri na ana uwezo wa kukimbia kilometa 88 hadi 90 kwa lisaa 2: Katika kukimbia kote huko huwa anatumia pua kwenye upumuwaje wake hatumii mdomo ni mtihani kwake, Macho yake yanauwezo wakuona nyuzi karibia 360 hivyo kumpa fursa yakuona eneo lote alilopo pindi anapofanya shughuli zake hivyo hana haja kugeuza geuza shingo kutamaza huku na kule 3: Pia masikio yake yana misuli takribani 10 hivyo kumuwezesha kuzunguka nyuzi 180 na kila sikio linauwezo wa kuzunguka bila kulifuatisha sikio lingine yaani kila sikio linazunguka kivyake.. Cc: @waziridello_ Lens 📸 ya: @broda.king
August 27, 2021
We na bae yako mnaenjoyig? Au kuna mchongo mnaskilizia?😅 @quenlinnatotoo @lacasarena_stables 📸: @broda.king
August 27, 2021
Chui Hajawahi kupoa kabisa kuanzia vibes mpaka michongo, Je wewe ni DJ mkali unahisi unatosha basi soma location na Tarehe kisha ufike ukajiandishe uweze kushindana na uibuke mshindi #TakeABiteOutOfLife #SerengetiPremiumLite #PaidPartnershipWithDiageo Tafadhali kunywa kistaarabu. Haiuzwi kwa walio na umri chini ya miaka 18
August 27, 2021
Life is about moments, create them.. usiskiliziee zikufate.. 💪🏽 #horseriding with my love @quenlinnatotoo thank @lacasarena_stables tumeenjoy sana!
August 26, 2021
Yessir namaanisha nikisema #TakeABiteOutOfLife nikiwa na chui @serengetipremiumlite yaani vibe lake linakubali kila location. Cheki video afu niambie wewe leo unaenda kupata wapi chui baada ya mihangaiko ya siku. Nakutangulizia 🍻 kwenye utafutaji wako wa siku ya leo. #PaidPartnershipWithDiageo 🔞
August 26, 2021
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact