@dogojanjatz

Janjaro

Tanzania
Je Unajua Baadhi Ya Tabia Za FARASI NA SIFA ZAKE.. 

1: Farasi huwa anatumiwa na binaadamu kama usafiri na ana uwezo wa kukimbia kilometa 88 hadi 90 kwa lisaa

2: Katika kukimbia kote huko huwa anatumia pua kwenye upumuwaje wake hatumii mdomo ni mtihani kwake, Macho yake yanauwezo wakuona nyuzi karibia 360 hivyo kumpa fursa yakuona eneo lote alilopo pindi anapofanya shughuli zake hivyo hana haja kugeuza geuza shingo kutamaza huku na kule

3: Pia masikio yake yana misuli takribani 10 hivyo kumuwezesha kuzunguka nyuzi 180 na kila sikio linauwezo wa kuzunguka bila kulifuatisha sikio lingine yaani kila sikio linazunguka kivyake..
Cc: @waziridello_ 
Lens 📸 ya: @broda.king

Je Unajua Baadhi Ya Tabia Za FARASI NA SIFA ZAKE.. 1: Farasi huwa anatumiwa na binaadamu kama usafiri na ana uwezo wa kukimbia kilometa 88 hadi 90 kwa lisaa 2: Katika kukimbia kote huko huwa anatumia pua kwenye upumuwaje wake hatumii mdomo ni mtihani kwake, Macho yake yanauwezo wakuona nyuzi karibia 360 hivyo kumpa fursa yakuona eneo lote alilopo pindi anapofanya shughuli zake hivyo hana haja kugeuza geuza shingo kutamaza huku na kule 3: Pia masikio yake yana misuli takribani 10 hivyo kumuwezesha kuzunguka nyuzi 180 na kila sikio linauwezo wa kuzunguka bila kulifuatisha sikio lingine yaani kila sikio linazunguka kivyake.. Cc: @waziridello_ Lens 📸 ya: @broda.king

August 27, 2021

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com