@azmamponda

azmamponda

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by azmamponda

azmamponda

#Repost @aznas_printing with @let.repost • • • • • • Kwa mahitaji yote ya Screen Printing, tunakukaribisha @aznas_printing Pia Tuna deal na Design,Branding , Photoshoot, na Video nk, Account zetu nyingine ni @aznas_studio @aznas_studio_music @aznas_kivule Hii ni kazi ya mteja wetu @samiagencies tunashukuru kwa kufanya kazi nasi Tunapatikana Mikocheni B kwa osama.. Contact +255 622 037 937 Mr brand @azmamponda

April 17, 2022

azmamponda

#Repost @aznas_printing with @let.repost • • • • • • Tunafurahi kufanya gazi na @peliah_automotives_tz ambao ni moja ya wauzaji wakubwa wa magari, Roll up banner printed by us @aznas_printing Tunawakaribisha wote kwa majitaji ya kudalizi, tshirts, kofia, mashuka nk Na kwamahitaji yote ya MABANGO tunakukaribisha @aznas_printing Pia Tuna deal na Design,Branding , Photoshoot, na Video nk, Account zetu nyingine ni @aznas_studio @aznas_studio_music Tunapatikana Mikocheni B kwa osama Contact 0622037937 Mr Brand @azmamponda

April 16, 2022

azmamponda

@tanzania_in_saudiarabia Embassy Gift bags printed by us @aznas_printing , Tunawakaribisha wote kwa mahitaji ya Printing na kudalizi, tshirts, kofia, mashuka nk Na kwa mahitaji yote ya MABANGO tunakukaribisha @aznas_printing Pia Tuna deal na Design,Branding , Photoshoot, na Video nk, Account zetu nyingine ni @aznas_studio @aznas_studio_music @aznas_kivule Tunapatikana Mikocheni B kwa osama Contact 0622037937 Mr Brand @azmamponda

April 16, 2022

azmamponda

Kioo cha wapambanaji @josephkusaga Tunawakaribisha Aznas kwa mahitaji ya kudalizi, tshirts, kofia, mashuka nk Na kwamahitaji yote ya MABANGO tunakukaribisha @aznas_printing Pia Tuna deal na Design,Branding , Photoshoot, na Video nk, Account zetu nyingine ni @aznas_studio @aznas_studio_music Tunapatikana Mikocheni B kwa osama Contact 0622037937 Mr Brand @aznas_printing @aznas_studio @aznas_studio_music @aznas_kivule

April 15, 2022

azmamponda

Love doesn't need to be perfect , it just need to be true.. @swity_eyes @aznas_printing @aznas_studio @aznas_studio_music @aznas_kivule

April 15, 2022

azmamponda

Ni msiba mzito kwenye Tasnia yetu ya sanaa,Poleni Sana Familia Nzima Ya Mzee wetu @zahirzorro Kwa Kumpoteza Dada Yetu #Maunda_Zorro. Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe 🙏🙏 Pole Sana Kaka Yetu @bananazorro

April 14, 2022

azmamponda

Karibuni @aznas_printing, @aznas_studio na @aznas_studio_music Kwa Huduma za DESIGN, PRINTING ie tshirts, stickers, banners , BRANDING ie magari, bajaji, ofisini nk, kutengeneza MABANGO ,tuna studio ya kurekodi MUZIKI,PHOTOSHOOT'S, pia tinafanya VIDEO'S za aina zote & MATANGAZO Tunapatikana Mikocheni B Kwa Osama, CocaCola Road Karibu na Clouds ,Mtaa wa Kanisani #LetsBrandYourBusiness Mr Brand @azmamponda +255 622 037 937

April 12, 2022

azmamponda

#Repost @aznas_printing with @let.repost • • • • • • @aznas_printing ••••••• Nawashukuru #PlanetBongo @eastafricaradio @eastafricatv kwa kutuamini na kufanya Patnership ya kazi na Kampuni yetu @aznas_printing naamini huu ni mwanzo mzuri wa Mahusiano ya Kibiashara baina yetu. Karibuni sana @aznas_printing Kwa mahitaji ya Design, Printing, Branding, Mabango nk Na @aznas_studio kwa Photoshoots, Video's, Documentaries na Matangazo ya Aina Zote.. Mr Brand @azmamponda @swity_eyes @aznas_studio

April 11, 2022

azmamponda

Location : Mikocheni B kwa osama @aznas_printing @aznas_studio @aznas_studio_music

April 10, 2022

azmamponda

Kuna muda unaweza ukajiona uko katika wakati mgumu sana, lakini ukasahau kuna watu wako katika wakati mgumu zaidi na bado wana matumaini, So mshukuru Mungu kwa kila nafasi anayokupatia kwenye maisha, na usisahau hapo ulipo wewe kuna watu nyuma yako wanatamani kufikia hata hapo,Kuwa na moyo wa kushuruku kwa kila jambo.. Jikubali na kubali kukubaliana na kila hali. Says Mr Brand @aznas_printing Cc @aznas_printing @aznas_studio @aznas_studio_music

April 10, 2022

azmamponda

#Repost @aznas_studio_music with @let.repost • • • • • • 🔥🔥🔥@officialshetta Ni jambo jema kuona vijana ambao tumeanzia ndoto zetu kwenye Muziki wa Hip Hop ambao baadhi ya watu walikuwa wanaochukulia katika Negative way, leo tunaweza kukutana na kuzungumza mambo mengi makubwa ya kibiashara, sio tena kuongelea mitungi, starehe, ganja na mambo mengine kama hayo.. Leo @aznas_printing ,@aznas_studio, @aznas_studio_music tumepata ugeni toka kwa MD na founder of @sawa_tanzania ,taasisi kubwa ambayo inatetea haki za wanawake, na moja wa wasanii wa Hip Hop my Geneous brother @officialshetta As i said kwenye video najifunza mengi sana kwa ndugu yangu na nafurahia kila hatua yake, na nashukuru kwa sababu taasisi yake imekuwa ikifanya kazi nasi, na nashukuru tunaelekea kufanya kazi kwa ukubwa zaidi, Mwenyezi Mungu atubariki ,tuzidi kupambana zaidi #LetsBrandYourBusiness Cc @swity_eyes Video by @director_florian Mr Brand @azmamponda Follow us @aznas_printing @aznas_studio @aznas_studio_music 2022.....

April 10, 2022

azmamponda

🔥🔥 @aznas_studio_music branding by us @aznas_printing Nimefanya muziki muda mrefu sasa, changamoto nilizokuwa nakutana nazo ni zile zile. 1.Sehemu ya kurekodi, 2.Sehemu ya kufanya videos. 3. Marketing team nk Nashukuru Mungu kwa kiasi fulani baadhi ya changamoto nimeweza kuzikabili, almost asilimia 75,% ya vitendea kazi tunavyo. Nafikiri huu ni wakati sahihi wa kutafuta watu sahihi ie ARTIST, PRODUCERS, MARKETING TEAM nk Mafanikio huja ukiwa na team sahihi ya kufanya nayo kazi. Tuendelee kushikamana na kufuatilia page zetu , kwa taarifa zaidi, na endapo utapenda kufanya kazi nasi au unapendelezo unaweza kushare nasi... Follow us @aznas_printing @aznas_studio @aznas_studio_music Mr brand @azmamponda +255622037937 Cc @swity_eyes

April 10, 2022

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com