@azmamponda

azmamponda

Tanzania

 #Repost @aznas_studio_music with @let.repost 
• • • • • •
🔥🔥🔥@officialshetta 
Ni jambo jema kuona vijana ambao tumeanzia ndoto zetu kwenye Muziki wa Hip Hop ambao baadhi ya watu walikuwa wanaochukulia katika Negative way, leo tunaweza kukutana na kuzungumza mambo mengi makubwa ya kibiashara, sio tena kuongelea mitungi, starehe, ganja na mambo mengine kama hayo..

Leo @aznas_printing ,@aznas_studio, @aznas_studio_music tumepata ugeni toka kwa MD na founder of @sawa_tanzania ,taasisi kubwa ambayo inatetea haki za wanawake, na moja wa wasanii wa Hip Hop my Geneous brother @officialshetta 

As i said kwenye video najifunza mengi sana kwa ndugu yangu na nafurahia kila hatua yake, na nashukuru kwa sababu taasisi yake imekuwa ikifanya kazi nasi, na nashukuru tunaelekea kufanya kazi kwa ukubwa zaidi,

Mwenyezi Mungu atubariki ,tuzidi kupambana zaidi

 #LetsBrandYourBusiness 

Cc @swity_eyes 
Video by @director_florian 

Mr Brand
@azmamponda 

Follow us 
@aznas_printing 
@aznas_studio 
@aznas_studio_music 

2022.....

#Repost @aznas_studio_music with @let.repost • • • • • • 🔥🔥🔥@officialshetta Ni jambo jema kuona vijana ambao tumeanzia ndoto zetu kwenye Muziki wa Hip Hop ambao baadhi ya watu walikuwa wanaochukulia katika Negative way, leo tunaweza kukutana na kuzungumza mambo mengi makubwa ya kibiashara, sio tena kuongelea mitungi, starehe, ganja na mambo mengine kama hayo.. Leo @aznas_printing ,@aznas_studio, @aznas_studio_music tumepata ugeni toka kwa MD na founder of @sawa_tanzania ,taasisi kubwa ambayo inatetea haki za wanawake, na moja wa wasanii wa Hip Hop my Geneous brother @officialshetta As i said kwenye video najifunza mengi sana kwa ndugu yangu na nafurahia kila hatua yake, na nashukuru kwa sababu taasisi yake imekuwa ikifanya kazi nasi, na nashukuru tunaelekea kufanya kazi kwa ukubwa zaidi, Mwenyezi Mungu atubariki ,tuzidi kupambana zaidi #LetsBrandYourBusiness Cc @swity_eyes Video by @director_florian Mr Brand @azmamponda Follow us @aznas_printing @aznas_studio @aznas_studio_music 2022.....

April 10, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com