@tundamantz

Real Tundaman

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by tundamantz

tundamantz

@simbasctanzania kubwa kuliko team yeyote east africa kama unabisha ngoja uone j pili kesho…j mosi watu wanashona sare 😂😂😂

March 17, 2022

tundamantz

NURU imeangaza maisha yake kama lilivyo jina lake NURU MIKIDADI, kwa buku kabukua 10,000,000/= toka BIKO. Changamka kwetu kila siku mshiko, cheki bahati yako sasa 1. Ingia kwenye TIGO PESA, M-PESA, AIRTEL MONEY au HALOPESA 2. Chagua Lipia bili au Lipa kwa Halopesa 3.Weka namba ya Kampuni ambayo ni 505050. 4.Kisha weka namba ya kumbukumbu 2456 ambayo ni sawa na neno #BIKO 5. Weka kiasi unachotaka kucheza kuanzia tsh 1000 au zaidi. @bikotanzania. . Hakuna kikomo cha muda kushiriki BIKO, cheza mara nyingi zaidi ujiweke kwenye nafasi nzuri ya kushinda papo hapo mpaka milioni 5. @bikotanzania #BukuNibukue #ShindaShindaTena #chekibahatiyako

March 17, 2022

tundamantz

@moodewji on stage. ila ndugu yangu @officialalikiba hii intro kwenye starehe gharama noma sana nakumbuka kuna siku @rayvanny na @richmavoko walitest kuipiga wakaishia njiani 😂😂😂

March 15, 2022

tundamantz

TUNDA MAN A.k.A MOODEWJI

March 15, 2022

tundamantz

Weka tuweke, OMARY HASSAN MASHAKA kaweka TZS 100 tu kwa mechi 24 kashinda 10,300,000/= toka Bikosports. Gusa kilele chako cha ushindi kwa kubet mechi kuanzia 3 ushinde Bonus hadi 100% ya ushindi wako. Piga *149*89 # au zama kwenye tovuti ya Bikosports sada mechi kedekede uwanja ni wako kushinda. @bikotanzania #KileleWin #jibwede

March 15, 2022

tundamantz

DODOMAAAA @moodewji nipo dodoma leo #chinangalipark wanangu leo tumeshinda tukutane pande hizooo… #TundaManA.k.A Moodewji

March 14, 2022

tundamantz

@moodewji kaondoka na kijiji chake pale dodoma kwenye @serengetimusicfestival thanx dodoma see u soon…. #mtummbadiii

March 14, 2022

tundamantz

Makofi, nderemo na vifijo kwa NURU MIKIDADI MOHAMED kuwa mwanamke wa Shoka kwa buku kabukua 10,000,000/= toka BIKO. Penye wingu haikosi kunyesha, mvua ya mshiko inaendelea kunyesha kila siku, kwa buku unaweza kubukua na wewe usikate tama. 1. Ingia kwenye TIGO PESA, M-PESA, AIRTEL MONEY au HALOPESA 2. Chagua Lipia bili au Lipa kwa Halopesa 3.Weka namba ya Kampuni ambayo ni 505050. 4.Kisha weka namba ya kumbukumbu 2456 ambayo ni sawa na neno #BIKO 5. Weka kiasi unachotaka kucheza kuanzia tsh 1000 au zaidi. @bikotanzania. . Hakuna kikomo cha muda kushiriki BIKO, cheza mara nyingi zaidi ujiweke kwenye nafasi nzuri ya kushinda papo hapo mpaka milioni 5. @bikotanzania #BukuNibukue #ShindaShindaTena #ChekiBahatiYako

March 14, 2022

tundamantz

Ugua pole @inty_tundaman wangu utakuwa sawa INSHAALAH…

March 14, 2022

tundamantz

New song new hit song kutoka kwa dogo lao @harmonize_tz ngoma ni kali nimeiskiliza na kuirudia pia sana …big up sana dogoo lao @harmonize_tz #mtummbadiii

March 14, 2022

tundamantz

Goma langu linaitwa MO FT BAKHRESA SOON….

March 14, 2022

tundamantz

@simbasctanzania ya kimataifa simba ya @moodewji ya kimataifa

March 14, 2022

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com