@plustvtz

PLUS TV 🇹🇿

Unknown

Instagram posts and videos uploaded by plustvtz

plustvtz

class="content__text" "Kipindi naifundisha Yanga hali ya kiuchumi ilikua mbaya, tulienda kucheza na USM Alger na wachezaji 13 tu. Hatukusafiri na mshambuliaji hata mmoja, baadhi ya wachezaji waligoma kusafiri na timu wakishinikiza kudai malimbikizo yao ya mshahara" - Mwinyi Zahera. #PlusXtraUpdates

May 28, 2023

plustvtz

class="content__text" Mtandao wa Statistics Feed imeitaja Pizza kama chakula maarufu zaidi duniani na kinachofahamika na watu wengi ambao kwa kiasi kikubwa kiuhalisia hawajawahi kuiona wala kuionja. #PlusXtraUpdates

May 28, 2023

plustvtz

class="content__text" "Kuna wakati tulikuwa tunacheza chini ya kiwango na tunazidiwa na wapinzani hivyo tunaamini viongozi na sisi wachezaji tumeona sehemu ambayo tumekosea na tujirekebishe" - Nyota wa Simba, Clotaus Chama. #PlusXtraUpdates

May 28, 2023

plustvtz

class="content__text" Mkufunzi wa muda wa Chelsea, Frank Lampard amefanikiwa kushinda michezo 2 tu kati ya 24 iliyopita akiwa kama kocha kwenye Premier League. Super Frank anakwamia wapi? #PlusXtraUpdates

May 28, 2023

plustvtz

class="content__text" Klabu ya Dar Young Africans imetangaza kuwa tiketi zake zote za mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho dhidi ya USM Alger ya Algeria zimemalizika zote hivyo uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa kesho umejaa. #PlusXtraUpdates

May 28, 2023

plustvtz

class="content__text" Nchi ya China imeanza kuunda vyoo vipya vya drone vinavyoruhusu watu kuviita kwa simu ya mkononi wakati wowote wanapohitaji kuvitumia kutoka mahali popote na kuwafikia ndani ya muda mfupi. Ikitokea choo kama hiki kikafika kwenye eneo lako unafikiri kitakuwa na hali gani baada ya mwezi mmoja? #PlusXtraUpdates

May 28, 2023

plustvtz

class="content__text" "Ukielewa picha kubwa ya Maisha yako huwezi kupata muda wa kusumbuka na mambo madogo madogo" - Nikki wa Pili. #PlusXtraUpdates

May 28, 2023

plustvtz

class="content__text" Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makalla leo Mei 26, 2023 amekutana na wamiliki wa kumbi za starehe jijini humo na kuagiza kufunguliwa kwa kumbi zote za starehe zilizokuwa zimefungwa na Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira NEMC kutokana na uchafuzi wa Mazingira kwa sauti iliyozidi kiwango. #PlusXtraUpdates

May 27, 2023

plustvtz

class="content__text" Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza, Ivan Toney, aliyefungiwa kwa miezi 8 kujihusisha na soka kutokana na kukutwa na kosa la kushiriki michezo ya kubashiri (Betting), imegundulika kuwa aliweka jumla ya Mechi 262 kwenye mechi, 13 kati ya hizo zilikuwa za timu yake mwenyewe kufungwa. #PlusXtraUpdates

May 27, 2023

plustvtz

class="content__text" Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa shilingi milioni 5 kwa ajili ya kununua tiketi 1000 za mashabiki kuelekea mchezo wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika utakaozikutanisha Yanga SC dhidi ya USM Alger siku ya Jumapili Mei 28. #PlusXtraUpdates

May 27, 2023

plustvtz

class="content__text" Mkuu wa kitengo cha habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally ameonesha rekodi yake ya malipo kwenda kwa nyota wa Dar Young Africans, Feisal Salum kwa ajili ya kumchangia sehemu ya fedha aliyoomba kusaidiwa kwa ajili ya kwenda kufungua kesi mahakama ya CAS. #PlusXtraUpdates

May 27, 2023

plustvtz

class="content__text" "Ukimkopesha pesa rafiki wa karibu basi ujue utapoteza vyote, pesa na urafiki kwa pamoja" - Bovi Ugboma #PlusXtraUpdates

May 27, 2023

Similar accounts

natgeo

284.3m followers

@natgeo
iamcardib

169.3m followers

@iamcardib
ddlovato

157.4m followers

@ddlovato
realmadrid

152.8m followers

@realmadrid
chrisbrownofficial

145.3m followers

@chrisbrownofficial
fcbarcelona

125.6m followers

@fcbarcelona
championsleague

113.4m followers

@championsleague
gal_gadot

109.3m followers

@gal_gadot
sooyaaa__

77.4m followers

@sooyaaa__
premierleague

72.7m followers

@premierleague
theweeknd

71.7m followers

@theweeknd
urvashirautela

70.3m followers

@urvashirautela

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com