@plustvtz

PLUS TV 🇹🇿

Unknown
class="content__text"
 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makalla leo Mei 26, 2023 amekutana na wamiliki wa kumbi za starehe jijini humo na kuagiza kufunguliwa kwa kumbi zote za starehe zilizokuwa zimefungwa na Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira NEMC kutokana na uchafuzi wa Mazingira kwa sauti iliyozidi kiwango.

 #PlusXtraUpdates

class="content__text" Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makalla leo Mei 26, 2023 amekutana na wamiliki wa kumbi za starehe jijini humo na kuagiza kufunguliwa kwa kumbi zote za starehe zilizokuwa zimefungwa na Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira NEMC kutokana na uchafuzi wa Mazingira kwa sauti iliyozidi kiwango. #PlusXtraUpdates

May 27, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com