class="content__text" When you Believe in yourself, you believe in possibilities 🦋
February 08, 2023
class="content__text" Hashtag kataa kutumika 📌 Tukutane Twitter #Maryamkitosi #Kinara #SemaNaKinara
February 08, 2023
class="content__text" Hello February ❤️ Sasa si ndio tunaanza mwaka January tulikuwa tuna-test mitambo?😀 Tumebarikiwa kuuona tukiwa na afya si turinge tu sasa?😇 Ukawe wenye baraka na mafanikio kwenye kila unalofanya 🤲 #SemaNaKinara #Kinara
February 01, 2023
class="content__text" Upate heshima hata kwenye vikao vya familia 😇 #SemaNaKinara #Kinara
January 18, 2023
class="content__text" Kuna yule ndugu yako mmoja mliyefatana kuzaliwa mlikuwa mnagombana sanaa pale home wakati mko wadogo, mimi wangu huyu hapa .. Kaka Ally 🥰 #SiblingLove #SemaNaKinara #Kinara🇹🇿
January 15, 2023
class="content__text" Nimeona sehemu wanajadili kuhusu faida za bamia na umuhimu wake; moja kubwa iliyonisaidia ni kwenye vidonda vya tumbo, bamia ni nzuri sanaa nakuhakikishia na zimenisaidia! Wengine huwa wanaloweka wanakunywa yale maji baada ya masaa kadhaa lakini mimi huwa natafuna mbichi kabisa na pia huwa nna mapenzi tu na bamia kama mboga.. hivyo kwangu hazipiti siku mbili hazijapikwa. Kingine kwa Wanawake hasa wakavu hizi zinafaa sanaa! Ongezea faida nyingine unazojua.. 💧 #SemaNaKinara #Kinara🇹🇿
January 15, 2023
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact