class="content__text" Nimeona sehemu wanajadili kuhusu faida za bamia na umuhimu wake; moja kubwa iliyonisaidia ni kwenye vidonda vya tumbo, bamia ni nzuri sanaa nakuhakikishia na zimenisaidia! Wengine huwa wanaloweka wanakunywa yale maji baada ya masaa kadhaa lakini mimi huwa natafuna mbichi kabisa na pia huwa nna mapenzi tu na bamia kama mboga.. hivyo kwangu hazipiti siku mbili hazijapikwa. Kingine kwa Wanawake hasa wakavu hizi zinafaa sanaa! Ongezea faida nyingine unazojua.. 💧 #SemaNaKinara #Kinara🇹🇿
January 15, 2023
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact