@kalajeremiah

Kala Jeremiah

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by kalajeremiah

kalajeremiah

gOMA LETU HILI LIMEINGIA KWENYE TUZO ZA TMA KWENYE KIPENGELE CHA WIMBO BORA WA SINGELI, KWA KWELI LINASTAHILI KUSHINDA SASA HEBU PIGA KURA CHAP CORE T0634 JINSI YA KUPIGA KURA BONYEZA LINK KWENYE UKURASA WA @basata.tanzania AU TUMA SMS T0634 KWENDA 0677209090

March 28, 2022

kalajeremiah

mPIGIE KURA MSANII UNAYEMPENDA SASA ILI AIBUKE KINARA KWENYE TUZO ZA TANZANIA MUSIC AWARDS @basata.tanzania @wizara_sanaatz

March 26, 2022

kalajeremiah

aSANTENI SANA @dili_tz KWA ZAWADI HII NZURI🙏🙏🙏

March 26, 2022

kalajeremiah

sIKU YA JUMAMOSI NILIPATA FURSA YA KUWA MGENI MAALUMU KWENYE HAFLA YA KUTAMBUA NA KUTHAMINI MCHANGO WA VIJANA KATIKA JAMII, JAMBO HILI JEMA LILIANDALIWA NA KURATIBIWA NA @sustainable_w_initiatives KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WENGINE, PAMOJA NA KUPATA FURSA YA KUONGEA MACHACHE PIA NILIPATA FURSA YA KUKABIDHI TUZO NA VYETI KWA VIJANA MBALI MBALI WALIOTAMBULIWA MICHANGO YAO, HAKIKA JAMBO HILI LITATIA HAMASA KWA VIJANA KUJITUMA ZAIDI KUJITOA NA KUITUMIKIA JAMII YAO. PIA NIKAPATA ZAWADI KUTOKA KWA @dili_tz 📷BY @mustapha_malick

March 26, 2022

kalajeremiah

tUNA KILA SABABU YA KUKUSHUKURU KWA DHATI KABISA MAMA YETU, RAIS WETU @samia_suluhu_hassan KWA MWAKA MMOJA MKUBWA, MWAKA WENYE MAFANIKIA MENGI KATIKA SEKTA YA MAJI, ELIMU, MIUNDOMBINU, UWEKEZAJI, AFYA, DIPLOMASIA, MICHEZO, SANAA, HABARI, DEMOKRASIA, AJIRA, UWEZESHAJI, UWAJIBIKAJI, UMOJA WA KITAIFA, UTEKELEZAJI WA MIRADI NA MENGINE MENGI SANA, TUNASEMA ASANTE SANA MAMA🙏🙏🙏 ASANTE @peter_msechu KWA WIMBO MZURI🙏🙏🙏

March 26, 2022

kalajeremiah

mIDA NDIYO HII TUKUTANE KEBBY'S HOTEL TUPEANE MADILI @sustainable_w_initiatives

March 26, 2022

kalajeremiah

UMEPITA BILA UWEPO WAKO MWANA WA AFRICA, TUNAENDELEA KUKUSHUKURU NA TUNAENDELEA KUKUENZI KWA KUCHAPA KAZI, ENDELEA KUPUMZIKA BABA🙏🙏🙏

March 19, 2022

kalajeremiah

kUMBUKUMBU KUTOKA GOMA CONGO DRC ENDELEA KUPUMZIKA BABA, MWANA WA AFRICA🙏🙏🙏

March 19, 2022

kalajeremiah

LEO NA KESHO DODOMA NI SIKUKUU, KARIBUNI SANA CHINANGALI PARK WASANII ZAIDI YA 200 WATATUMBUIZA KWA HIZI SIKU 2 KWA KIINGILIO CHA TSH3000 KWA SIKU MOJA AU 5000TSH KWA SIKU ZOTE MBILI @serengetimusicfestival @wizara_sanaatz @mmchengerwa @dktabbasi @mrishompoto

March 19, 2022

kalajeremiah

sASA LEO NDO ILE SIKU SASA TUKUTANENI PALE CHINANGALI PARK MIDA MIDA 🔥🔥🔥 @serengetimusicfestival @wizara_sanaatz @mmchengerwa @dktabbasi

March 19, 2022

kalajeremiah

nIKISEMEZANA NA VIJANA WA JIJI LA DODOMA JANA KWENYE TAMASHA LA @serengetimusicfestival LILILOANDALIWA NA @wizara_sanaatz NICHUKUE FURSA HII KWA DHATI KABISA KUISHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA SITA CHINI YA AMIRI JESHI MKUU NA RAIS WETU MAMA YETU @samia_suluhu_hassan KWA KUENDELEA KWA VITENDO KUITHAMINI SANAA YETU, HAKIKA TUMEJAWA NA SHUKRANI ISIYOKIFANI MIOYONI MWETU🙏🙏🙏 @mmchengerwa @dktabbasi

March 19, 2022

kalajeremiah

hUU NI USHINDI MKUBWA SANA KWA TASNIA YETU YA SANAA NA MICHEZO, SHUKRANI ZETU ZA DHATI ZIENDE KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA CHINI YA RAIS WETU @samia_suluhu_hassan 🙏 #Repost @wizara_sanaatz ... Serikali imekamilisha hatua muhimu za ujenzi wa miundombinu ya Michezo-Mhe Mchengerwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa @mmchengerwa amesema katika mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali imekamilisha hatua muhimu za ujenzi wa miundombinu muhimu ya michezo ikiwemo kukamilika kwa usanifu wa Uwanja wa Soka Dodoma, kukamilika usanifu wa ujenzi wa viwanja vya mazoezi na kupumzikia wananchi vitakavyojengwa Dar es Salaam, Dodoma na Geita. Pia kukamilika kwa michoro ya ukumbi kubwa kwa ajili ya michezo na Sanaa za ndani (Sports and Arts Arena) utakaokuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 15,000 na kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo kwenye Mkutano na waandishi wa Habari leo Machi 16, 2022 wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya Wizara yake kwa kipindi hiki ambapo amesisitiza kuwa hatua za kuanza ujenzi wa miradi hii zinaendelea vizuri Aidha, amesema jambo jingine la kimkakati sana na litakalosaidia kulea vipaji mbalimbali vya michezo ni uamuzi wa Serikali kuridhia kuanzisha shule maalum 56 (sports academies) zitakazokuwa kila mkoa nchini ambapo amefafanua kuwa jumla ya Shilingi bilioni 19 zitatumika kukarabati shule hizo na kuwekewa miundombinu mbalimbali ya kisasa. "Hili nalo ni jambo la kihistoria linalokwenda kuzalisha vijana walioiva tangu wadogo ili waiwakilishe nchi yetu ndani nje ya nchi kwa ufanisi". Anaongeza Pia amefafanua kuwa Novemba mwaka jana Tanzania ilipata bahati ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Soka kwa Walemavu Afrika (CANAF-2021) ambapo pamoja na Tanzania kuzipokea takribani nchi 13 kutoka Afrika. Amesema Timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka la Walemavu, Tembo Warriors, ilikuwa miongoni mwa Timu nne zilizofuzu kutoka Afrika kwenda Kombe la Dunia Uturuki Oktoba mwaka huu. "Mhe. Rais aliagiza maandalizi ya timu hii yaanze, naomba leo kutoa taarifa kuwa tayari timu hii imeshaingia kambini jijini Dar es Salaam tangu Februari 20 mwaka huu ikiwa chini ya ufadhili wa Serikali moja k

March 19, 2022

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com