keep Quiet Jaymondy🤐.. Just Let ur Talent Speak.. ISA FRIDAY MY LOVELY FANS!! 🔥🔥🔥 Enjoy😛🤪
July 10, 2021
Sasahivi mambo ni chapu Tuuuuu!!!! hakuna maswala ya kujaza macode ya ajabu ajabu .. Ingaia www.sokabeti.co.tz/jaymondy @sokabetafrica
July 10, 2021
😂😂 Achen nii enjoy na mtoto ang jaman👌😂😂 Great vibe with ma Beloved Son!! @alvinjay__ . Sema hili JIMBO NOMA SANA #ExwanguRemix🤣🤣 @hamisamobetto Mtoto angu anasema Asante kwa kuharibu Familia yake🤣🤣🤣
July 10, 2021
Eeeh bana eeh @laptopcitytanzania This time hawataki masihara kabisaaaaa!! ndio kwaanza huduma zao wameboresha! halafu kuhusu bidhaa zao kuwa ORIGINAL Usijali kabisaaaa!!! .. @laptopcitytanzania
July 10, 2021
😂Kaoneni ka Jaymond hakana Nyota , Hakajulikani mtaani maskin!! af wafuasi 2M wamekafollow huko instagram😂😂😂😂😂 .... #KakaZubeda😂 . Oy @younglunya na mi nimepita kwa kaka angu @juma_jux kusign😂
July 09, 2021
#Nisiejulikana Nina raha sanaaa ni pale tu ninapojiamini na Kazi yangu😂🔥🔥🔥 AM THE BEST!! narudia AM THE BEST kwenye swala la SEATCOVER SMART! na OG hii ni kwa Gari yoyote ileeeee halafu mimi Nakufanyia kwa bei Nafuu!! Usiende huko uchochoroni utaharibiwa gari bure, naskia mnaharibiwa sana Umeme wa Magari🙌🏽 poleni sana!!! nipigie hapa 0624848543 nikusaidie hata kwa ushauri!! @craft_tz
July 09, 2021
Ahaha...Thanks kwa wateja wangu woote ambao Wametuamini na wameamua kuichagua @craft_tz kua ndio sehemu pekee Mtakayo Rekebisha INTERIOR ZA MAGARI YENU.. sisi tunadeal na DASH BORD , SEATCOVER , ROOF , na FLOOR... Tupigie sasahivi kuweka oder 0624848543 Napokea Mwenyewe CEO
July 08, 2021
😂🔥🎉 STILL CELEBRATING 2M followers 🔥🔥 Wat A beautiful Cake🤩🤗😂 Haya JaymondyFans Mlio karibu na mikocheni Mikono Juu👆🏾😀 ASANTE FOR A BEAUTIFUL CAKE @hammys_cake Umejua kuni suprise😃 af keki Tamu kinoma! UNAJUA🙌🏽🔥.. . Watu wangu nawapa Taarifa ya kwamba Ukiwa na shida yoyote ya Cake Nzuri ,Tamu Mcheki @hammys_cake @hammys_cake Utanikumbuka.
July 07, 2021
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact