@jamiiforums

JamiiForums

Tanzania

 MDAU: ULIPAJI WA MAHARI UNASHUSHA UTU, HAINA TOFAUTI NA BIASHARA YA UTUMWA
-
Anasema kigezo cha Mahari kuwa Utamaduni ni kitu kinachovunja Utu wa Mtu kwa kuwa Mtu hawezi kuthaminishwa kwa kiwango chochote kile cha Fedha au Mali 
-
Anadai Wazazi na Walezi wanawafanyia tathmini Watoto wao kutokana na Tabia, Uzuri, Rangi, Maumbile, Elimu. Ajabu unakuta Mzazi anasema hauwezi kuoa Mwanangu bila Tsh. Milioni 5 au 10 au bila Ng'ombe 10
-
Anashauri ni vema Wazazi wa pande zote wachange Fedha kisha wawape wanaofunga Ndoa kama kianzio cha Maisha.
-
 #Maisha #HumanRights #JamiiForums

MDAU: ULIPAJI WA MAHARI UNASHUSHA UTU, HAINA TOFAUTI NA BIASHARA YA UTUMWA - Anasema kigezo cha Mahari kuwa Utamaduni ni kitu kinachovunja Utu wa Mtu kwa kuwa Mtu hawezi kuthaminishwa kwa kiwango chochote kile cha Fedha au Mali - Anadai Wazazi na Walezi wanawafanyia tathmini Watoto wao kutokana na Tabia, Uzuri, Rangi, Maumbile, Elimu. Ajabu unakuta Mzazi anasema hauwezi kuoa Mwanangu bila Tsh. Milioni 5 au 10 au bila Ng'ombe 10 - Anashauri ni vema Wazazi wa pande zote wachange Fedha kisha wawape wanaofunga Ndoa kama kianzio cha Maisha. - #Maisha #HumanRights #JamiiForums

December 04, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com