@jamiiforums

JamiiForums

Tanzania

 KENYA: RUTO, RAILA WATUPIANA MANENO KUHUSU MAKAMISHNA WA UCHAGUZI WALIOSIMAMISHWA KAZI
-
Rais #WilliamRuto amemtaka Kiongozi wa Azimio la Umoja, #RailaOdinga kuacha kushawishi Umma kupinga maamuzi hayo kwa kuwa Mahakama ndio itaamua kuhusu Makamishna waliopinga Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2022
-
Raila ameandika kupitia #Twitter akimjibu Ruto kwa kuweka kipande cha video kikimuonesha Ruto akipinga matokeo ya Urais Mwaka 2007 wakati Mwai Kibaki alipotangazwa kushinda na kuandika “Usijifanye leo hii kwamba umesahau.”
-
 #Democracy #Accountability #KenyaDecides2022 #JamiiForums

KENYA: RUTO, RAILA WATUPIANA MANENO KUHUSU MAKAMISHNA WA UCHAGUZI WALIOSIMAMISHWA KAZI - Rais #WilliamRuto amemtaka Kiongozi wa Azimio la Umoja, #RailaOdinga kuacha kushawishi Umma kupinga maamuzi hayo kwa kuwa Mahakama ndio itaamua kuhusu Makamishna waliopinga Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2022 - Raila ameandika kupitia #Twitter akimjibu Ruto kwa kuweka kipande cha video kikimuonesha Ruto akipinga matokeo ya Urais Mwaka 2007 wakati Mwai Kibaki alipotangazwa kushinda na kuandika “Usijifanye leo hii kwamba umesahau.” - #Democracy #Accountability #KenyaDecides2022 #JamiiForums

December 04, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com