@jamiiforums

JamiiForums

Tanzania

 BURKINA FASO: JESHI LAKIFUNGIA KITUO CHA REDIO RFI YA UFARANSA
-
Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo ikidai Kituo hicho kimetangaza taarifa za Uongo na kuwapa nafasi Waasi kusikika kwenye matangazo yao
-
Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia Madarakani kwa Mapinduzi ya Kijeshi alisema kuna jaribio la Mapinduzi ya kumng'oa Madarakani
-
RFI imesema inasikitishwa na uamuzi huo na kwamba agizo la kusitisha matangazo limetolewa bila onyo na bila kufuatwa taratibu zilizowekwa na Mamlaka za Udhibiti wa Mawasiliano.
-
 #JamiiForums #Democracy #PressFreedom #SocialJustice

BURKINA FASO: JESHI LAKIFUNGIA KITUO CHA REDIO RFI YA UFARANSA - Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo ikidai Kituo hicho kimetangaza taarifa za Uongo na kuwapa nafasi Waasi kusikika kwenye matangazo yao - Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia Madarakani kwa Mapinduzi ya Kijeshi alisema kuna jaribio la Mapinduzi ya kumng'oa Madarakani - RFI imesema inasikitishwa na uamuzi huo na kwamba agizo la kusitisha matangazo limetolewa bila onyo na bila kufuatwa taratibu zilizowekwa na Mamlaka za Udhibiti wa Mawasiliano. - #JamiiForums #Democracy #PressFreedom #SocialJustice

December 04, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com