@jamiiforums

JamiiForums

Tanzania

 POLISI WASIPOTOA DHAMANA KWA MTUHUMIWA ANAWEZA KUWASHTAKI MAHAKAMANI
-
Mtuhumiwa aliyekamatwa na Polisi kama kosa lake linadhaminika na hajapelekwa Mahakamani ndani ya Muda uliowekwa Kisheria anaruhusiwa kuomba Dhamana yeye mwenyewe au kupitia wakili
-
Polisi wakigoma kumpa dhamana, anaweza kufungua kesi Mahakamani kuomba “Habeas Corpus,” ili Mahakama ilazimishe apelekwe Mahakamani kisha aombewe dhamana akiwa Mahakamani
-
Mtuhumiwa akifungua kesi ya kuzuiwa kupewa dhamana, washtakiwa ni Mkuu wa Kituo, Mkuu wa Polisi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)
-
 #JFSheria #JamiiForums

POLISI WASIPOTOA DHAMANA KWA MTUHUMIWA ANAWEZA KUWASHTAKI MAHAKAMANI - Mtuhumiwa aliyekamatwa na Polisi kama kosa lake linadhaminika na hajapelekwa Mahakamani ndani ya Muda uliowekwa Kisheria anaruhusiwa kuomba Dhamana yeye mwenyewe au kupitia wakili - Polisi wakigoma kumpa dhamana, anaweza kufungua kesi Mahakamani kuomba “Habeas Corpus,” ili Mahakama ilazimishe apelekwe Mahakamani kisha aombewe dhamana akiwa Mahakamani - Mtuhumiwa akifungua kesi ya kuzuiwa kupewa dhamana, washtakiwa ni Mkuu wa Kituo, Mkuu wa Polisi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) - #JFSheria #JamiiForums

December 03, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com