@jamiiforums

JamiiForums

Tanzania

 BRAZIL: HALI YA MWANASOKA MKONGWE PELÉ YABADILIKA, AWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU
-
Ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vikiwemo #DailyMail na #Reuters zinaeleza Edson Arantes do Nascimento maarufu Pelé yuko chini ya uangalizi maalumu baada ya Matibabu ya Moyo na Mionzi kutompa nafuu
-
Pelé mwenye Miaka 82 alikimbizwa Hospitali Novemba 29, 2022 akisumbuliwa na Uvimbe wa Tumbo, Moyo kushindwa kufanya kazi pamoja kumpunguzia maumivu ya Saratani ya Utumbo Mpana
-
Nyota huyo aliisaidia Brazil kushinda Kombe la Dunia mara 3 Miaka ya 1958, 1962 na 1970, na alifunga magoli 643 katika Mechi 659 za Klabu ya Santos, na aliifungia Brazil Magoli 77 katika Michezo 92.
-
 #JamiiForums #JFSports

BRAZIL: HALI YA MWANASOKA MKONGWE PELÉ YABADILIKA, AWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU - Ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vikiwemo #DailyMail na #Reuters zinaeleza Edson Arantes do Nascimento maarufu Pelé yuko chini ya uangalizi maalumu baada ya Matibabu ya Moyo na Mionzi kutompa nafuu - Pelé mwenye Miaka 82 alikimbizwa Hospitali Novemba 29, 2022 akisumbuliwa na Uvimbe wa Tumbo, Moyo kushindwa kufanya kazi pamoja kumpunguzia maumivu ya Saratani ya Utumbo Mpana - Nyota huyo aliisaidia Brazil kushinda Kombe la Dunia mara 3 Miaka ya 1958, 1962 na 1970, na alifunga magoli 643 katika Mechi 659 za Klabu ya Santos, na aliifungia Brazil Magoli 77 katika Michezo 92. - #JamiiForums #JFSports

December 03, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com