@jamiiforums

JamiiForums

Tanzania

 SHINYANGA: WAATHIRIKA WA TOPE LA MGODI WA ALMASI WADAI FIDIA
-
Wakazi wa Kata ya Mwaduilohumbo ambao Nyumba na Mashamba yao yalifunikwa na tope la Bwawa Mgodi wa Williamson Diamond kupasuka, wameiomba Serikali kuharakisha tathmini ya Uharibifu ili walipwe Fidia 
-
Bwawa la Maji machafu la Mgodi wa Williamson Diamond lilipasuka Novemba 7, 2022 na tope kusambaa kwenye Makazi ya Watu ambapo Kaya zaidi ya 30 zenye Wakazi 145 ziliathiriwa
-
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Joseph Mkude, amewataka Wananchi hao kuwa wavumilivu wakati zoezi la tathmini likiendelea huku akiwataka kutoa taarifa sahihi.

 #JamiiForums #SocialJustice #Accountability

SHINYANGA: WAATHIRIKA WA TOPE LA MGODI WA ALMASI WADAI FIDIA - Wakazi wa Kata ya Mwaduilohumbo ambao Nyumba na Mashamba yao yalifunikwa na tope la Bwawa Mgodi wa Williamson Diamond kupasuka, wameiomba Serikali kuharakisha tathmini ya Uharibifu ili walipwe Fidia - Bwawa la Maji machafu la Mgodi wa Williamson Diamond lilipasuka Novemba 7, 2022 na tope kusambaa kwenye Makazi ya Watu ambapo Kaya zaidi ya 30 zenye Wakazi 145 ziliathiriwa - Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Joseph Mkude, amewataka Wananchi hao kuwa wavumilivu wakati zoezi la tathmini likiendelea huku akiwataka kutoa taarifa sahihi. #JamiiForums #SocialJustice #Accountability

December 03, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com