@jamiiforums

JamiiForums

Tanzania

 NIGERIA: MASHTAKA DHIDI YA MWANAFUNZI ALIYEMTUSI MKE WA RAIS YAFUTWA
-
Aminu Adamu (24) alikamatwa kutokana na ujumbe wa #Twitter ambapo alidaiwa kumtuhumu Mke wa Rais kwa kutumia vibaya Fedha za Umma na kushtakiwa kwa kueneza Habari za Uongo
-
Kukamatwa na mashtaka yaliyofuata dhidi ya Mwanafunzi huyo kulizua hasira huku watumiaji wengi wa Mitandao ya Kijamii na Wanaharakati wa Haki za Binadamu wakitaka aachiliwe mara moja
-
Shirika la Amnesty International limesema Mwanafunzi huyo aliteswa baada ya kukamatwa, na kukitaja kuwa kitendo cha ukandamizaji ambacho kinakiuka Haki za Kibinadamu, madai ambayo hadi sasa Mamlaka haijatoa Kauli yoyote.
-
 #JamiiForums #HumanRights #Democracy #FreedomOfSpeech

NIGERIA: MASHTAKA DHIDI YA MWANAFUNZI ALIYEMTUSI MKE WA RAIS YAFUTWA - Aminu Adamu (24) alikamatwa kutokana na ujumbe wa #Twitter ambapo alidaiwa kumtuhumu Mke wa Rais kwa kutumia vibaya Fedha za Umma na kushtakiwa kwa kueneza Habari za Uongo - Kukamatwa na mashtaka yaliyofuata dhidi ya Mwanafunzi huyo kulizua hasira huku watumiaji wengi wa Mitandao ya Kijamii na Wanaharakati wa Haki za Binadamu wakitaka aachiliwe mara moja - Shirika la Amnesty International limesema Mwanafunzi huyo aliteswa baada ya kukamatwa, na kukitaja kuwa kitendo cha ukandamizaji ambacho kinakiuka Haki za Kibinadamu, madai ambayo hadi sasa Mamlaka haijatoa Kauli yoyote. - #JamiiForums #HumanRights #Democracy #FreedomOfSpeech

December 03, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com