Haya Jamani valentine njema woteee …mim ntakuwa kwenye mfungo wa kwaresma…j.5 ya majivu 😍 … ila @krishndiku08 Lens zamoto sanaa @talk2my.eyes Makeup @ireneuwoya8
February 10, 2024
Hakuna kitu kinaniumaga kama kuona mtu mjinga kujiona mjanja na rafiki zake wanampongeza kumbe wana mcheka…inauma nyie inaniumaga sanaaa 😢
February 10, 2024
Happy birthday sweetheart…MUNGU akulinde na akujalie kheri na baraka @babuupankras Nakupenda 😍😍😍
February 09, 2024
Jana ilikuwa noma sanaaa … wifi umeweza @mrs_aristotee_cake nasema hivi cake ya taifa ndio hiii sasa 😷 @aristotee umetisha tajiri 😍
February 06, 2024
Happy birthday wifi yangu kipenzi …Nakupenda na MUNGU akulinde kila siku mama @mrs_aristotee_cake 😍😍😍
February 05, 2024
Happy birthday kipenz changu …MUNGU akulinde na akupiganie siku zote za maisha yako …nakupenda sana @lionell_angel 😍😍😍
February 05, 2024
Haya maisha kila mtu ana ndoto yake …kuna mtu yeye anatamani tu kuwa MGENI RASMI 😊 …sijamsema mtu 😷
February 04, 2024
Happy birthday sweetheart…MUNGU akulinde na akubariki siku zoteee …nakupenda @_esmaplatnumz
February 02, 2024
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact