Liverkuku muwe na usingizi mwema.....au niendelee? Au tuendelee kujadili mechi? Eti @nassor_binslum @jb_jerusalemfilms @ahmedabdallah05
February 04, 2024
.....Nimelia sana...😭😭😭😭😭😭 Kenge nyie.....ilikuwa tumalize kunyonyoa manyoya yote....ilipaswa kuwa 6-1...KENGE KABISA
February 04, 2024
Masela 2 Wolves 4....hawa jamaa..masela tu flani...haooo wanaenda zao kupiga msuba kisha wanaenda Kidimbwi Bar ya London kula bata....
February 04, 2024
Namcheki mwehu huyu anavyochekesha kama Jotti....jamani odds si zinajieleza hapo.....@wasafibetofficial_ .....
February 04, 2024
Arsenal Supporters Club Tanzania watakuwa na Tamasha la Mashabiki wa Arsenal Afrika litakalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 29/03/2024 mpaka tarehe 01/04/2024. Moja ya shughuli zitakazoambatana na Tamasha hili ni kuchangia gharama za matibabu ya watoto wenye uhitaji wa kufanyiwa upasuaji wa Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Wanakaribisha wadhamini mbalimbali, unaweza kuchangia kupitia lipa namba ya Tigo Pesa 5425121 na kupitia akaunti namba 0133833985900 iliyopo katika benki ya CRDB, kote huko jina litakuja Arsenal Supporters Club Tanzania. Kwa mawasiliano Mwenyekiti - 0712150486 Katibu - 0713551919
February 03, 2024
#Ad ....leo ndio Fredy Michael 'Fungafunga' anaanza kazi Kigoma kwa akina Baba Levo....kama safi sana..naburudika na @pilsnerlager_tz #pamojaTunaunguruma #wakatiwakonisasa
February 03, 2024
Enock Inonga amepita......its time for Djigui Diarra naye apite mbele ya mwenyeji......nimewahi @wasafibetofficial_ kutandika mkeka wangu faster
February 03, 2024
Mliosema Precision Air haiwezi kunileta Kahama, hapa wapi? Ile nini?....Liverkuku karibuni Emirates hii wikiendi...Mwanitesa naona mlikuwa mnacheza netball jana.... @precisionairtz
February 02, 2024
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact
office@insiflow.com