@chichisupply

chichi_stores

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by chichisupply

chichisupply

January 08, 2022

chichisupply

January 08, 2022

chichisupply

#Repost @open_kitchen2014 with @make_repost ・・・ Its sad kwasababu watu wengi huwa hawapendi kuliongelea hili swala simply because society yetu imejenga mtazamo kuwa mwanamke aliyekuwa divorced ana matatizo au mapungufu na wengi sana wanakuwa attacked bila kujua kuwa hakuna mtu anayeingia kwenye ndoa kwa ajili ya kuachika mimi nimekuwa divorced 3 times so najua siyo kitu kirahisi kutembea na hiyo label kwakuwa niliamua toka msichana kuwa nitaishi maisha ya ukweli sitokaa kujidanganya kuwa nipo happy wakati najua kabisa nipo unhappy hiyo HAPANA ubaya ni kwamba ukiwa mkweli sana unaonenakana kama una mapungufu . Lakini watu wengi wanashindwa kuelewa ndoa inataka ukweli ndoa lazima muwe na communication nzuri ili muweze ku balance ndoa siyo NGUMI,MATUSI , UBABE, GUBU, na mengineyo mengi ndoa ni maelewano na siyo mashindano ndoa siyo kuoneana wivu bali kusupportiana ndoa siyo kutishiana bali kubembelezana yaani ndoa ina vipengele vingi sana . Wanawake wengi sana wanaogopa divorce kwasababu kwanza jamii itakuonaje pili wanaogopa aibu kwenye familia lakini what about your happiness ? What about your mental health hivyo ni vitu vya muhimu sana kuoa siyo msaada ni mapenzi na maelewano yakiisha basi you must move on . .divorce siyo kitu kizuri inaumiza sana lakini pia inaokoa maisha kwasababu mwisho wa mapenzi huwa ni vita sasa kuepuka hiyo vita na kuumiza hasa watoto ni bora kila mtu akaanza maisha ya amani kwasababu hakuna aliyezaliwa ili aishi kwa mateso UKIJARIBU SO MANY TIMES KUWEKA MAMBO SAWA UKAONA INASHINDIKANA THEN ITS OK TO MOVE ON NI KWELI HUWA TUNASEMA ALL MEN ARE THE SAME BUT NOT ALL MEN ACT THE SAME ALWAYS (Wanaume wote..wapo sawa lakini wanaume wote hawana tabia sawa ) mti mmoja ila utamu wa matunda unatofautiana . .mwanamke mwenye maamuzi ndiyo kwenye jamii huwa anaonekana mkorofi lakini yeye ndio anajua kwanini ameanza maisha mapya kwakuwa anatambua umuhimu wa afya yake ya akili na umuhimu wa kulea watoto na kwenye safe environment na siyo toxic marriage IF YOU CAN SAVE YOUR MARRIAGE SAVE IT , IF YOU ARE DESTROYED AND LIVING IN PAIN EVERYDAY WALK AWAY .

December 08, 2021

chichisupply

🤣

December 08, 2021

chichisupply

#usinirekodi

December 08, 2021

chichisupply

Everyone is doing their best🤗 so do I !

December 08, 2021

chichisupply

lashes✌️, We do home, hotel n office service, visit us at citymall or do your appointments booking with us with this link WhatsApp https://wa.me/message/YH6ICTUYIKO4C1 or do a normal call ☎️ +255 716 318 799 only at 25,000tsh #specialprice #citymall #daressalaam

December 08, 2021

chichisupply

Who can relate @_faizaally @faizanabiasharazake @faizanabiasharazake @iamfaizaally @fslboutique1

December 08, 2021

chichisupply

Loh 😂😂😂

December 08, 2021

chichisupply

#Repost ley_home_hotel_appliance with @make_repost ・・・ AM SO PROUD OF MY DADY ALWAYS.....🙌🙌🙌👏👏 WIL DO SAME KWA MY GIRLS AISEE UKIZINGUA ...UTAMSIKILIZIA NAMPOKEA NA MIKONO NA MIGUU YOTE MAISHA YAPO TU MAZURI NA SIO MATESO ..HAYAVUMILIKI

December 08, 2021

chichisupply

I’m a woman, I’m sex, I’m ….

December 08, 2021

chichisupply

This is me 😂…I take no bulshit

December 08, 2021

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com