@wasafifm

Wasafi FM

Tanzania
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio la kuchomwa moto baadhi ya nyaraka mbalimbali ambazo zilikuwemo ndani ya ofisi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Tunduma.

#MenuYaLeo

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio la kuchomwa moto baadhi ya nyaraka mbalimbali ambazo zilikuwemo ndani ya ofisi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Tunduma. #MenuYaLeo

October 13, 2021

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com