class="content__text" kwa jinsi tunavoitolea macho mechi ya Jumamosi , Muarabu lazima afe mwa Mkapa
February 15, 2023
class="content__text" kikosi kitakachoanza kwenye mchezo dhidi ya Horoya Mungu ibariki Simba sports 🙏
February 11, 2023
class="content__text" leo ni siku ya kufurahi wana simba tukutane kwa mkapa leo jioni tuwanyoe walima alizeti
February 09, 2023
class="content__text" Singida tumewapiga 3 kwa 1 na haya ndio magoli yetu, ufundi mwingiii halaf nguvu kidogo
February 09, 2023
class="content__text" Twende na familia zetu kwa Mkapa tukapate burudani ya soka la kimataifa. Ni simba sports VS Al hilal kutoka Sudan mchezo wa kirafiki
February 09, 2023
class="content__text" Ukweli ndio huu kama kocha anaona Chama haingii kwenye mfumo wake, inabidi yeye kocha ndo aingie kwenye mfumo wa Chama
February 09, 2023
class="content__text" MABILIONEA WAKUBWA AFRIKA 1. Dangote $13.5 B 2. Rupert & family $10.7 B 3. Oppenheimer & family $8.4 B 4. Abdulsamad $7.6 B 5. Sawiris $7.3 B 6. Adenuga $6.3 B 7. Rebrab $4.6 B 8. Naguib $3.3 B 9. Motsepe $3.2 B 10. Mansou $2.9 B 11. Bekker $2.6 B 12. Masiyiwa $1.9 B 13. Mo Dewji $1.5 B [Source @forbes ] Tuoneshe boss wako tukuoneshe boss wetu 😁😁
February 02, 2023
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact