class="content__text" “Kama Wana Afrika Kusini inabidi tufanye Kitu juu ya Uhalifu katika nchi yetu,sio kwasababu ya kifo cha mtu maarufu bali ni kwaajili ya usalama wa kila mtu anayeishi Africa Kusini,hii inatakiwa kuisha” - #DJTIRA . . written by @lanka_ting . . #RickMedia #EntertainmentChamber
February 18, 2023
class="content__text" #DJTIRA Akizungumza namna anavyomjua Marehemu #AKA kabla ya Umauti wake Katika Ibada ya Ukumbusho ya Rapa huyo. . . written by @lanka_ting . . #RickMedia #EntertainmentChamber
February 18, 2023
class="content__text" #ETrending Ibada ya Ukumbusho wa Marehemu #AKA inafanyika huko Sandton, Gauteng Nchini Afrika Kusini Muda huu Watu mbalimbali wamejitokeza kuzungumza namna walivyokuwa na ufahamu wa Rapa huyo alieuawa kwa kupigwa Risasi . . . written by @lanka_ting . . #RickMedia #EntertainmentChamber
February 18, 2023
class="content__text" Umeusikiliza wimbo mpya wa @officialalikiba unaitwa #MAHABA?. Kuna mstari anasema kuwa "Natamani kuwa single ila nna Upwiru unakaba koo" Swali liko hapa "UPWIRU NI NINI?". Drop comment yako hapa chini utuambie maana ya Upwiru
February 18, 2023
class="content__text" #ETrending Bondia @k_mandonga akitambulisha upande wake wa pili wa burudani ambapo ameugeukia muziki na kwa mara ya kwanza katika safari yake ya muziki ameshirikishwa kwenye wimbo wa msanii wa singeli @[17841439702540079:@chudylove_] kwenye wimbo wake unaofahamika kama "Umeyakanyaga" . . . ✍Written by @saraphinajerryofficial . . #RickMedia #entertainmentchamber
February 18, 2023
class="content__text" #InfoSocial Mwanamke mmoja Nchini Kenya amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela kwa kumpiga makofi mwanamke aliyekuwa na Muhusiano ya kimapenzi na mue wake. . . Josephine achieng (32) alifikishwa mbele ya hakimu mkuu wa mombasa Vincent Adet na kukiri makosa yake. . . written by @lanka_ting . . #RickMedia #EntertainmentChamber
February 18, 2023
class="content__text" #InfoSports 📸 @bm3gh 😃😃😃 Muonekano Mpya wa #BM3, Unaupa Asilimia Ngapi? . . written by @lanka_ting . . #RickMedia #EntertainmentChamber
February 18, 2023
class="content__text" #ETrending 📸 @juma_jux Na Mpenzi wake @karenbujulu ❤❤🔥🔥 SWIPE LEFT... . . written by @lanka_ting . . #RickMedia #EntertainmentChamber
February 18, 2023
class="content__text" #ETrending ✍ @diamondplatnumz 🔥🔥🔥🔥 . . written by @lanka_ting . . #RickMedia #EntertainmentChamber
February 18, 2023
class="content__text" #ETrending Mr #SingleBoy @harmonize_tz Anasema ametimiza Miezi Mitatu Bila kukutana Kimwili na Mwanamke. 😀 Vipi Unakubaliana nae? . . SWIPE LEFT.... . . written by @lanka_ting . . #RickMedia #EntertainmetChamber
February 18, 2023
class="content__text" #ETrending Baada ya @_esmaplatnumz kupost kipande cha video kwenye Instastory yake siku ya jana akiwa anasikiliza wimbo wa @harmonize_tz "Single Again"leo hii msanii huyo naye pia amempost dada huyo wa @diamondplatnumz kupitia akaunti yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram @harmonize_tz huku akiuliza swali Je watu wakiwa nj'e ya mahusiano ndio wanakuwa wazuri? @harmonize_tz ameandika "Do people look Better when they are Single 🤔 @_esmaplatnumz ❤️🩹". . . ✍Written by @saraphinajerryofficial . . #RickMedia #entertainmentchamber
February 18, 2023
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact
office@insiflow.com