class="content__text" Wakifurahi vipenzi vyangu inatosha ♥️♥️♥️♥️ #mama4 #mamayakushonanguo #mamamwenyegetilakemjini #mamamwenyecherehanizakemjini
February 15, 2023
class="content__text" Happy valentine's Day CHEREHENI ZANGU WAPENZI 😘😘😘😘 mnajua kunipa Raha😘😘😘😘😘 Wapenzi wangu wa ukweli msio na uongo kwangu zaidi ya juhudi zangu Dona linapikwa freshiiiiiiiii tu😀 #mkehalaliwacherehani #fundinguonyamshepu #mama4 #mamayakushonanguo #mamamwenyegetilakemjini #mamamwenyecherehanizakemjini
February 14, 2023
class="content__text" Jumatatu tulivu kabisa... Kula mbuzi choma , ng'ombe, mlenda au kisamvu au maharage au tembele au mwidu au msusa au ngunyiani au kisusio au maziwa mtindi... Shiba, Fanyakazi Acha makasiriko wewe na maisha yasiyokuhusu ya mtu mwingine😀😀
February 13, 2023
class="content__text" Kibonge wake mtu🤩🤩 #fundinguonamaishayake #fundinguonyamshepu #mamayakushonanguo #mamamwenyegetilakemjini #mamamwenyecherehanizakemjini
February 12, 2023
class="content__text" Nasemajeeeeeeeeeeee Nasema hivi hata iweje Manula atabaki kuwa kipa wangu Bora Sana ndani ya Simba bana🤩🤩 Unamjua Air Manula wewe🤩🤩🤩 @28_manula
February 11, 2023
class="content__text" Jumamosi ya njano na cream na blue na kijani jeshi eeh...😀😀😀 Sio mbaya kuwasabahi wanaokuheshimu maishani mwako..🤩🤩 #fundinguonyamshepu #fundinguonamaishayake #mamayakushonanguo #mamamwenyegetilakemjini #mamamwenyecherehanizakemjini
February 11, 2023
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact