class="content__text" #King👑 #UONGONAKWELI🤣😂🤣😂 _______________________________________________________ Hayaaaaaaaaaaaaaaaaaa ni BOLINGOO tuuuuu... Tumelifutia Taifa Aibu...🇹🇿 Wanaaaaaaaanchiiiii...... #MwenyeKitiWaKamati #KamatiYaRohooMbayaaa #WekeniBando📡
February 19, 2023
class="content__text" #King👑 Kwa miaka ya karibuni naona Wasemaji & Wahamasishaji wetu wakihimiza mashabiki kujaa na kuimba viwanjani 🙌 Wananchii hizi CHANTS za Vilabu Originally huwa zina aanzia viwanjani sio STUDIO kwa Marioo na Vinanda vyake 💉 KILA LA KHERI @yangasc 🔰 #SUPERSUNDAY ⚽️ #MwenyeKitiWaKamati #KamatiYaRohooMbayaaa #WekeniBando📡
February 19, 2023
class="content__text" #King👑 #UONGONAKWELI🤣😂🤣😂 _______________________________________________________ Makoloooooooo.... KINYUME NYUME NA CHU..P MKONONI 😂🤣😂🤣 Thaaaalathaaaaaaaaaaaaa.... @ahmedally_ Nna furaha ila naogopa 😜 #kuangaliavideoszoote📺 #GongalinkKwaBio👆👆 #MwenyeKitiWaKamati #KamatiYaRohooMbayaaa #WekeniBando📡
February 19, 2023
class="content__text" #King👑 Nnavyo wajua @rcaofficiel saivi kwa Mkapa linalia CURVA SUD uwanja mziiimaaa... Home af mmenyanyasika Makolo saana teeena saaana ila mm nipo kwa Mkopo tu 😂🤣😂🤣😂🤣 #MwenyeKitiWaKamati #KamatiYaRohooMbayaaa #WekeniBando📡
February 19, 2023
class="content__text" #King👑 Piiiigaaaa Shenaaali haooooo.... Naskia Rais mstaaaf @edokumwembe hajakakidhi ofisi kwa kwa Rais mwenye kimaa....i hadi sasa @madeeali ...
February 19, 2023
class="content__text" #King👑 #FriendsSupportfriends💪 _______________________________________________________ Swalamaaaa Makolo... Uzuri wa Jambo lile lazma sisi Raja Tuuuuleee.. @officialalikiba naaaaam naaaaam NIPO RAJA KWA MKOPO LEO 🤣😂🤣😂 #MwenyeKitiWaKamati #KamatiYaRohooMbayaaa #WekeniBando📡
February 19, 2023
class="content__text" #King👑 Mwambieni MR.SAFOKETI aandae kolomelo 📢 kinamhusu soon.. Tumpaushe na vumbi kwan si kibarua wetu pale Yanga 😂🤣😂🤣 #MwenyeKitiWaKamati #KamatiYaRohooMbayaaa #WekeniBando📡
February 18, 2023
class="content__text" #King👑 Ndoa Ot kwenye 🧱 ya Kuchoma Mkeka umechanika ila nna ka furahaa flan hivi.
February 17, 2023
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact