@bavicha_taifa

Official BAVICHA Taifa

Unknown

Instagram posts and videos uploaded by bavicha_taifa

bavicha_taifa

class="content__text" TAARIFA KWA UMMA

January 21, 2023

bavicha_taifa

class="content__text" 𝗝𝘂𝘂 𝘆𝗮 𝗺𝗶𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘆𝗮 𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗮. Rais akipokea ripoti ya kikosi kazi alieleza, mikutano ya hadhara itaruhusiwa baada ya mabadiliko ya Sheria na Kanuni. Rais baada ya kukutana na Chadema akaruhusu mikutano ya hadhara bila kusubiri mabadiliko ya Kanuni na Sheria.

January 21, 2023

bavicha_taifa

class="content__text" Tunawatakia kheri ya sikukuu ya Christmas vijana na watanzania wote kwa ujumla.

January 21, 2023

bavicha_taifa

class="content__text" #UhuruNaHaki

December 21, 2022

bavicha_taifa

class="content__text" Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. @freemanmbowetz atazungumza na watanzania waishio Marekani Disemba 10, 2022 katika Jiji la Washington DC.

December 21, 2022

bavicha_taifa

class="content__text" TAARIFA KWA UMMA.

December 21, 2022

bavicha_taifa

class="content__text" TAARIFA KWA UMMA

December 21, 2022

bavicha_taifa

class="content__text" Kila la kheri @gwamakambughi

December 21, 2022

bavicha_taifa

class="content__text" "Uchaguzi wa mwaka 2024 na 2025 hakuna #KatibaMpya, hakuna #TumeHuruYaUchaguzi, hakuna mifumo mizuri ya Uchaguzi, hakuna Sheria bora za Uchaguzi, uchaguzi hautafanyika. Hatutakubali pesa za watanzania, wanaolipa kodi zikatumike kwa uchaguzi wa maigizo." Mhe. Benson Kigaila

December 21, 2022

bavicha_taifa

class="content__text" Tunawatakia kheri kidato cha nne katika mitahani yetu inayoanza kesho Novemba 14, 2022.

November 21, 2022

bavicha_taifa

class="content__text" Leo Oktoba 28, 2022 katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika akiwa ziarani mkoani Rukwa amezindua tawi la Zimamoto lililopo katika kata ya Izia, jimbo la Sumbawanga Mjini. Mhe. Mnyika ametumia wasaha huo kutoa wito kwa matawi yote ya chama nchi nzima kuharakisha zoezi la usajili wa wanachama kidigitali, amesema " 𝗠𝗮𝘁𝗮𝘄𝗶 𝘆𝗮𝗵𝗮𝗿𝗮𝗸𝗶𝘀𝗵𝗲 𝘂𝘀𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗰𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗸𝗶𝗱𝗶𝗴𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗵𝗮𝗿𝗮𝗸𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗿𝗮𝘁𝗶𝗯𝗮 𝘆𝗮 𝘂𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝘃𝗶𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗻𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗖𝗵𝗮𝗺𝗮."

November 21, 2022

bavicha_taifa

class="content__text" "Kwa sasa Chadema tuna jumla ya ofisi 457 ambazo zimejengwa katika maeneo mbalimbali nchini." Mhe. @jjmnyika akiwa Mkoani Rukwa leo Oktoba 28, 2022.

November 21, 2022

Similar accounts

natgeo

284.3m followers

@natgeo
iamcardib

169.3m followers

@iamcardib
ddlovato

157.4m followers

@ddlovato
realmadrid

152.8m followers

@realmadrid
chrisbrownofficial

145.3m followers

@chrisbrownofficial
fcbarcelona

125.6m followers

@fcbarcelona
championsleague

113.4m followers

@championsleague
gal_gadot

109.3m followers

@gal_gadot
sooyaaa__

77.4m followers

@sooyaaa__
premierleague

72.7m followers

@premierleague
theweeknd

71.7m followers

@theweeknd
urvashirautela

70.3m followers

@urvashirautela

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com