@albertomsando

Advocate Albert G. Msando

Unknown
class="content__text"
 #PleaseSwipe. Leo ni siku ya nne kuendelea na kambi ya kusikiliza [kuishi] na wananchi hapa Kiji cha Msomera. Tumeendelea kutoa huduma lakini kubwa tumeweza kusikia mawazo na maoni yao kuhusu masuala mengi ambayo tukiyafanya kwa pamoja tutafanikiwa sana. Tumekubaliana hata siku ya wanawake tarehe 8/03 tutaadhimisha hapa kwa kusheherekea mila na desturi zetu makabila yote tulio hapa. Leo tunaendelea na mazungumzo kupokea ushauri wa viongozi wa mila na dini. Tunakumbuka kwamba hatujui sana kuliko wao. Kufahamu kwetu sio kujua zaidi. Tutajua tukisikiliza na kuelewa wanachofahamu wao. #Jumapili #Kambini #MsomeraTobiko #SSHKazini

class="content__text" #PleaseSwipe. Leo ni siku ya nne kuendelea na kambi ya kusikiliza [kuishi] na wananchi hapa Kiji cha Msomera. Tumeendelea kutoa huduma lakini kubwa tumeweza kusikia mawazo na maoni yao kuhusu masuala mengi ambayo tukiyafanya kwa pamoja tutafanikiwa sana. Tumekubaliana hata siku ya wanawake tarehe 8/03 tutaadhimisha hapa kwa kusheherekea mila na desturi zetu makabila yote tulio hapa. Leo tunaendelea na mazungumzo kupokea ushauri wa viongozi wa mila na dini. Tunakumbuka kwamba hatujui sana kuliko wao. Kufahamu kwetu sio kujua zaidi. Tutajua tukisikiliza na kuelewa wanachofahamu wao. #Jumapili #Kambini #MsomeraTobiko #SSHKazini

March 05, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com