@albertomsando

Advocate Albert G. Msando

Unknown
class="content__text"
 Mojawapo ya changamoto ya jumla tuliyokutana nayo ni upungufu wa chakula msimu huu. Hali ya ukame imetuathiri wilaya ya Handeni. Pamoja na utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kuwa karibu sana na wananchi kushauriana nini cha kupanda. Endapo tutapanda kwa kutegemea ‘kudra’ za Mwenyezi Mungu pekee tutapata hasara. Mazao yanayohimili ukame kama Mtama na Mihogo yatatusaidia. #Handeni #Kilimo #TabiaNchi Nb: Nikiwa na Mwenyekiti na Mtendaji wa Kijiji. Familia ya kazi ya kuwahudumia wananchi.

class="content__text" Mojawapo ya changamoto ya jumla tuliyokutana nayo ni upungufu wa chakula msimu huu. Hali ya ukame imetuathiri wilaya ya Handeni. Pamoja na utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kuwa karibu sana na wananchi kushauriana nini cha kupanda. Endapo tutapanda kwa kutegemea ‘kudra’ za Mwenyezi Mungu pekee tutapata hasara. Mazao yanayohimili ukame kama Mtama na Mihogo yatatusaidia. #Handeni #Kilimo #TabiaNchi Nb: Nikiwa na Mwenyekiti na Mtendaji wa Kijiji. Familia ya kazi ya kuwahudumia wananchi.

March 03, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com