@albertomsando

Advocate Albert G. Msando

Unknown
class="content__text"
 #Msomera. Siku ya kwanza. Tumesikiliza na kutatua changamoto. Kesho tunaendelea. Huduma mbalimbali kama NIDA, Bima ya Afya, Usajili TASAF, Ardhi, Vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya miaka 5, Usajili wa Vikundi, TIN nk zimeanza kutolewa. Tutaendelea mpaka tarehe 11. Ila tutahakikisha hii inakuwa endelevu kuwarahisishia wananchi na pia kuongeza mapato kwa Serikali kutokana na ada mbalimbali zitakazolipwa. Tutaboresha namna ya utoaji huduma (Mobile Service Provision). #MsomeraTobiko @handenidc355

class="content__text" #Msomera. Siku ya kwanza. Tumesikiliza na kutatua changamoto. Kesho tunaendelea. Huduma mbalimbali kama NIDA, Bima ya Afya, Usajili TASAF, Ardhi, Vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya miaka 5, Usajili wa Vikundi, TIN nk zimeanza kutolewa. Tutaendelea mpaka tarehe 11. Ila tutahakikisha hii inakuwa endelevu kuwarahisishia wananchi na pia kuongeza mapato kwa Serikali kutokana na ada mbalimbali zitakazolipwa. Tutaboresha namna ya utoaji huduma (Mobile Service Provision). #MsomeraTobiko @handenidc355

March 03, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com