@maimarthajesse

Hot Tv presenter

Tanzania

 Hello... Je wewe Ni mjasiliamali?

Bhasi hii ndilo jukwaa lako, n

Noo upate masoko, Upate ujuzi, Maarifa na fursa na burudani....

Njoo uonyeshe bidhaa zako...🙌

Kama una bidhaa ungependa kuzindua na kuitangaza, hapa Ni mahali pake🙌

Yaani ukutane na Wajasiliamali wenzio na wateja wako🔥🔥
na wadau wote wa biashara yako. 

Yote hayo Ni bure kwa wajumbe wa jukwaa la Wajasiliamali. Maonyesho yataanza saa tano asubuhi, 

Seminar itaanza saa SAA kumi jioni.....na burudani ya mziki wa live (SIKINDE BAND) kuanzia saa mbili jioni. Njoo upate elimu, burudani, na mtandao utakaokusaidia kukuza biashara yako🔥🔥

@wajasiliamaliforum@wajasiliamaliforum

Hello... Je wewe Ni mjasiliamali? Bhasi hii ndilo jukwaa lako, n Noo upate masoko, Upate ujuzi, Maarifa na fursa na burudani.... Njoo uonyeshe bidhaa zako...🙌 Kama una bidhaa ungependa kuzindua na kuitangaza, hapa Ni mahali pake🙌 Yaani ukutane na Wajasiliamali wenzio na wateja wako🔥🔥 na wadau wote wa biashara yako. Yote hayo Ni bure kwa wajumbe wa jukwaa la Wajasiliamali. Maonyesho yataanza saa tano asubuhi, Seminar itaanza saa SAA kumi jioni.....na burudani ya mziki wa live (SIKINDE BAND) kuanzia saa mbili jioni. Njoo upate elimu, burudani, na mtandao utakaokusaidia kukuza biashara yako🔥🔥 @wajasiliamaliforum@wajasiliamaliforum

March 23, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com