@kajalafrida

Kajala Masanja

Tanzania
Tamthilia ya Jua kali pamoja na Familia yote kwa ujumla tutakuwepo Ocean Road Hospital tarehe 10/2/2024  Saa 3:00 Asubuhi kwa ajili ya kuchangia na kufurahi pamoja na wagonjwa wa kansa. Tunawakaribisha watanzania wote kushirikiana nasi kwa chochote utakachobarikiwa kuchangia kwa ajili ya wagonjwa wa Kansa. Kutakua na zoezi la kuchangia damu na kwa yeyote atakaye guswa kuchangia fedha atume mchango wake kwenye namba 0743 900001 jina litatokea Leah Richard Mwendamseke.
Wote mnakaribishwa🙏🏽🙏🏽
@taasisiyasaratanioceanroad
@changiadamutz
@dstvtanzania @lamataleah
@juakali_tamthilia
#FightCancer
#Awareness

Tamthilia ya Jua kali pamoja na Familia yote kwa ujumla tutakuwepo Ocean Road Hospital tarehe 10/2/2024 Saa 3:00 Asubuhi kwa ajili ya kuchangia na kufurahi pamoja na wagonjwa wa kansa. Tunawakaribisha watanzania wote kushirikiana nasi kwa chochote utakachobarikiwa kuchangia kwa ajili ya wagonjwa wa Kansa. Kutakua na zoezi la kuchangia damu na kwa yeyote atakaye guswa kuchangia fedha atume mchango wake kwenye namba 0743 900001 jina litatokea Leah Richard Mwendamseke. Wote mnakaribishwa🙏🏽🙏🏽 @taasisiyasaratanioceanroad @changiadamutz @dstvtanzania @lamataleah @juakali_tamthilia #FightCancer #Awareness

February 07, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com