Kampeni yetu ya #MAGIFTIDABODABO ya @tigo_tanzania inaendelea kuzalisha matajiri wapya mjini, na tayari tunae mshindi mpya wa shillingi Million 30 ambae kesho atakabidhiwa utajiri wake. Jamani kaeni vizuri na wapenzi na ndugu zenu, usikute aliyeshinda ni mpenzi wako au ndugu yako 😀 Tuongeze kasi pia ya kutumia huduma za TigoPesa, na Tigorusha ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda, mana bado kuna gari huko halijatoka, linakusubiri wewe tu. #MagiftiDaboDabo
February 08, 2024
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact