jokatemwegelo Instagram User Posts and Videos.


Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo

@Jokate Mwegelo
N/A
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania tunakutakia kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwako Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan- Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Tunazidi kukuombea maisha marefu yenye furaha, amani, upendo na afya njema. Zaidi tunakushukuru kwa uongozi wako thabiti na hamasa unayoendelea kutupa sisi wanawake. 
Samia Oyeeee πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›

@samia_suluhu_hassan

Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania tunakutakia kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwako Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan- Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Tunazidi kukuombea maisha marefu yenye furaha, amani, upendo na afya njema. Zaidi tunakushukuru kwa uongozi wako thabiti na hamasa unayoendelea kutupa sisi wanawake. Samia Oyeeee πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’› @samia_suluhu_hassan

January 27, 2024

β€œOnce you learn to carry your own water, you will learn the value of every drop”

β€œOnce you learn to carry your own water, you will learn the value of every drop”

January 17, 2024

Madam Chair. Madam President πŸ’›πŸ’š

Madam Chair. Madam President πŸ’›πŸ’š

January 15, 2024

Wajumbeee 

Makamu Mwenyekiti Uvccm Taifa @rehema_sombi na Katibu Mkuu uvccm @fakihlulandala

Wajumbeee Makamu Mwenyekiti Uvccm Taifa @rehema_sombi na Katibu Mkuu uvccm @fakihlulandala

January 15, 2024

New Boss In Town. Hongera sana Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi Katibu Mkuu CCM!!!

New Boss In Town. Hongera sana Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi Katibu Mkuu CCM!!!

January 15, 2024

January 13, 2024

Temeke. 
Tunawashukuru wananchi wote kwa kujitokeza kwa wingi kupokea Mwenge wa Uhuru 2021 mtaani lakini pia kwenye miradi yetu mbalimbali ya maendeleo.

Temeke. Tunawashukuru wananchi wote kwa kujitokeza kwa wingi kupokea Mwenge wa Uhuru 2021 mtaani lakini pia kwenye miradi yetu mbalimbali ya maendeleo.

August 24, 2021

August 23, 2021

Kama unampenda Mama yako nyoosha mkono tukuone πŸ™‹πŸ½β€β™€οΈ

Ndugu yangu @barobaro_tz hujawai kuacha kusepa na kijiji!!! Ukiniuliza wewe unaweza kuwa Singeli Masta kwasasa mtaani kwetu. 

Tunawashukuru sana wananchi wa Temeke na hususani Mbagala tumekesha wote na kukabidhi Mwenge wa Uhuru salama alfajiri kwa Mkuu wetu wa Mkoa Mhe @amosmakalla 

Kipekee nitoe pongezi kubwa kwa team yetu ya Vijana kutoka Idara ya Tehama na Habari kwa kurusha matukio yote mubashara @temekemanispaa @temeke_municipal_online_tv

Pia Asante team Ya @peramiho_djs @dj_sweetlady kwa sound bora na kwa mziki mzuri.

Kama unampenda Mama yako nyoosha mkono tukuone πŸ™‹πŸ½β€β™€οΈ Ndugu yangu @barobaro_tz hujawai kuacha kusepa na kijiji!!! Ukiniuliza wewe unaweza kuwa Singeli Masta kwasasa mtaani kwetu. Tunawashukuru sana wananchi wa Temeke na hususani Mbagala tumekesha wote na kukabidhi Mwenge wa Uhuru salama alfajiri kwa Mkuu wetu wa Mkoa Mhe @amosmakalla Kipekee nitoe pongezi kubwa kwa team yetu ya Vijana kutoka Idara ya Tehama na Habari kwa kurusha matukio yote mubashara @temekemanispaa @temeke_municipal_online_tv Pia Asante team Ya @peramiho_djs @dj_sweetlady kwa sound bora na kwa mziki mzuri.

August 23, 2021

Tunawashukuru sana vijana kutoka jeshi la wananchi tz- wakimbiza mwenge wa uhuru kitaifa kwa kazi nzuri ya kutuhamasisha kukimbiza Mwenge wa uhuru ndani ya wilaya yetu na ukaguzi wa miradi ya maendeleo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tunawashukuru sana vijana kutoka jeshi la wananchi tz- wakimbiza mwenge wa uhuru kitaifa kwa kazi nzuri ya kutuhamasisha kukimbiza Mwenge wa uhuru ndani ya wilaya yetu na ukaguzi wa miradi ya maendeleo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

August 23, 2021

Asante Dada Yangu, Mhe DC wa Kigamboni @fatmanyangassa kwa kunikabidhi Mwenge wa Uhuru 2021 ukiwa salama.

Asante Dada Yangu, Mhe DC wa Kigamboni @fatmanyangassa kwa kunikabidhi Mwenge wa Uhuru 2021 ukiwa salama.

August 22, 2021

Karibu Mwenge wa Uhuru 2021 Temeke. 
Karibu Kiongozi shupavu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Luteni Josephine Mwambashi na vijana wote wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Temeke.

Karibu Mwenge wa Uhuru 2021 Temeke. Karibu Kiongozi shupavu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Luteni Josephine Mwambashi na vijana wote wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Temeke.

August 22, 2021

Tupo Mubashara Leo Kwenye YouTube Channel Yetu. 

Kauli Mbiu Ya Mwenge Wa Uhuru Mwaka Huu ni β€œ Tehama ni Msingi wa Taifa Endelevu, Itumie Kwa Usahihi Na Uwajibikaji. 

Temeke tunatumia Tehema na Habari kufikia wananchi na kuwapasha wananchi juu ya yale yanayojiri na nini serikali inafanya. 
 
Karibu mtufuate kwenye mitandao yetu ya kijamii. 
@temekemanispaa

Tupo Mubashara Leo Kwenye YouTube Channel Yetu. Kauli Mbiu Ya Mwenge Wa Uhuru Mwaka Huu ni β€œ Tehama ni Msingi wa Taifa Endelevu, Itumie Kwa Usahihi Na Uwajibikaji. Temeke tunatumia Tehema na Habari kufikia wananchi na kuwapasha wananchi juu ya yale yanayojiri na nini serikali inafanya. Karibu mtufuate kwenye mitandao yetu ya kijamii. @temekemanispaa

August 22, 2021

Nawapongeza vijana wetu wa Idara ya Tehama na Habari wa @temekemanispaa kwa kurusha mkesha wa Mwenge wa Uhuru, Mubashara kutoka Viwanja vya Zakhiem muda huu. 

Sound ya @peramiho_djs πŸ’―

Nawapongeza vijana wetu wa Idara ya Tehama na Habari wa @temekemanispaa kwa kurusha mkesha wa Mwenge wa Uhuru, Mubashara kutoka Viwanja vya Zakhiem muda huu. Sound ya @peramiho_djs πŸ’―

August 22, 2021

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Follow Us

facebook logoinstagram logotwitter logolinkedin logo

Copyright 2020-2024 Insiflow.com