bavicha_taifa Instagram
likes
179
comments
2
engagement
0.14%

TAARIFA KWA UMMA Katibu Mkuu wa Chama Mhe.John Mnyika atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho jumamosi tarehe 31 Julai 2021 saa 5 kamili asubuhi, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni. Waandishi wote mnakaribishwa na tuchukue tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.

Download instagram photos of bavicha_taifa