Hamisi Taletale Wiki, Bio, Age, Net Worth.


Hamisi Taletale

Hamisi Taletale

@Hamisi Taletale
N/A

Hamisi Taletale - Wiki, Bio, Age, Net Worth, Height, Family, Trivia and more

Kaka anasema ana six packs @tamir_mrkucheka nawaza kumfikia sijui nitumie dawa gani๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Pole sana kwa kuondokewa na Baba yako mzazi @donfumbwe Mungu akutie nguvu. Kiukweli umepambana ila Mungu kampenda zaidi,tumuombee Baba awe na kauli thabit.
Je tunasubiri hadi Mhe. Rais @samia_suluhu_hassan aseme tumuombee ? Naamini niwajibu wetu sasa kumuunga mkono na kumuombea kwa kasi sana. Mama sisi wana Morogoro Kusini Mashariki tunakuombea na leo tunakesha na wana Twariqa
JANUARI YA RAIS SAMIA.

Tukiwa tumeingia Mwaka Mpya wa 2022 katika namna ambayo haijawahi kutokea katika sekta ya Elimu hasa wakati huu wa kupokea Wanafunzi wapya kwenye Shule zetu, Morogoro Kusini Mashariki tunafurahia ukamilishwaji wa vyumba vya madarasa 

Leo tunazungumzia ujenzi wa madarasa na miundombinu ya Afya mingi inayokwenda kukamilika Kwa kasi kubwa.

Ujenzi wa vyumba vya madarasa uliovunja rekodi kwa kuwa na vyumba vingi vinavyotosheleza ikama ya Wanafunzi waliojiandikisha.

Asante sana Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @samia_suluhu_hassan kwa kushika chaki ili kuwafundisha Watoto wetu kwa vitendo.

Hii ni Januari kabambe ya Rais Samia @samia_suluhu_hassan , kwani ameelekeza maono kwenye masuala ya Watu wake bila uwoga.

Morogoro Kusini Mashariki tunakushukuru kwa ujenzi huu wa miundombinu na fedha za miradi unazotuletea mara kwa mara.

Sisi tuko pamoja nawe Mama yetu, na tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu.
KAZI IENDELEE. @shigela_martine @shakazulu36 @albertomsando @daniel_godfrey_chongolo @gersonmsigwa @ikulu_mawasiliano #MALENGO
Kumekucha binti anaenda kupata elimu ya kesho. Asante Mungu kwa kila jambo @babytatyana
SHUKRANI:
Kwanza niwashukuru Nyote Mlionitakia kheri katika siku yangu muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwangu.

Nami nawatakia kheri ya Mwaka Mpya na Mungu awape sawasawa na vipimo vya mahitaji yenu.

Nawashukuru sana ndugu zangu wa Morogoro Kusini Mashariki kwa umoja wenu na kupelekea kuyafanya mengi kwa pamoja Jimboni kwetu, najiona Shujaa na Mwenye kuvikwa Joho la heshima kwa umoja Wetu.

Niwaahidi kuwa, Mwaka huu tunakwenda kuacha alama kwenye mioyo ya kila mmoja na nitaendelea kulinda na kukilea Chama chetu (CCM).

Asante Mungu kwa kuendelea kutulinda na kutufungulia milango ya maendeleo.

MUNGU ATUBARIKI MOROGORO KUSINI MASHARIKI, MUNGU IBARIKI TANZANIA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Heri ya Mwaka mpya 2022

Hamisi Taletale Bio

Not much known

Trivia

Not much known

Personal Life

Not much known

Education

Not much known

Hamisi Taletale Age

Not much known, born on Not much known

Hamisi Taletale Net Worth

Hamisi Taletale Net Worth Estimated at $Not much known USD

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Follow Us

facebook logoinstagram logotwitter logolinkedin logo

Copyright 2020-2024 Insiflow.com